Kubadilishana kituo cha kazi

Kubadilishana kituo cha kazi

Jux08

Member
Joined
May 21, 2017
Posts
55
Reaction score
16
Jamani kuna mwalimu wa sekondari mjini musoma anatafuta mwalimu ambae yuko mwanza mjini wa kubadilishana nae.
 
Mwenye taarifa anicheki inbox itapendeza
 
anzisheni group la whatsapp kwa walimu Tanzania, itawasaidia sana kwa issue hizo na kutambuana kifira pia, ama huwa mna magroup ya udaku tu? Anzisha wengine watakufuata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom