KWa mfano kwenye bumps hizi za mjini kama upo speed zinakwaruza pia?mkuu mimi zangu zilikua 205/45r17 nikaweka 205/50r17 na zikawa fresh sasa balaa linakuja ukiwa speed halafu ukapita sehem yenye kimuinuko au shimo au sehem yeyote inayoweza kufanya gari idunde matairi yanakwaruza kwenye bodi...
mkuu zinakwaruza tena unaweza damage matairi ukaingia kwenye cost zingine, bora u consult na wajuzi wa mambo uone kama utaweza weka spacerKWa mfano kwenye bumps hizi za mjini kama upo speed zinakwaruza pia?
Hizo tairi ulibadili kwenye gari gani mkuu?mkuu zinakwaruza tena unaweza damage matairi ukaingia kwenye cost zingine, bora u consult na wajuzi wa mambo uone kama utaweza weka spacer
allex mkuuHizo tairi ulibadili kwenye gari gani mkuu?
Tofauti ndogo sana hio haiwezi kuleta madhara yoyote.Nataka kuongeza ground clearance ya gari (Toyota Isis) kwa kubadilisha tairi kutoka 195/65 R15 na kuweka 195/70R15 Je hiyo itasaidia? Na je inaweza kuwa na athari zozote hasi kwa mwenendo mzima wa gari?
Tatizo umeweka rims kubwa kwenye gari ndogo. 17'' kwa Toyota Allex hata ungerudishia yale yale bado kwenye mashimo ingedunda. Huyu mwenzio gari yake ina 15'' haiwezi kugusa. Allex na Carina mle mle sasa mwenzio ana pungufu ya 2'' huwezi kusema itagusa kama yako. 15'' na 17'' hata kwa macho tu kuna tofauti kubwa sana.mkuu mimi zangu zilikua 205/45r17 nikaweka 205/50r17 na zikawa fresh sasa balaa linakuja ukiwa speed halafu ukapita sehem yenye kimuinuko au shimo au sehem yeyote inayoweza kufanya gari idunde matairi yanakwaruza kwenye bodi...
Kuna siku nikiwaza kuweka rims kubwa nikasita nikahisi na hii yaweza yokea .ata kwenye kona ukiweka rim kubwa sana lazima ikusumbue kwenye kona za ghaflaallex mkuu
mkuu hizi size 17 sijabadili zilikuja na gari but tatizo lilikuja pale nilipoweka tairi za 50 badala ya 45. Hizi za 45 zilikua na nyama ndogo sana ndio zilizokuja na gari but za 50 zikawa zimejaa kidogo ndio zikaleta shida. Bahat nzuri kwenye website nilipoinunua hawajatoa picha naambatanisha.Tatizo umeweka rims kubwa kwenye gari ndogo. 17'' kwa Toyota Allex hata ungerudishia yale yale bado kwenye mashimo ingedunda. Huyu mwenzio gari yake ina 15'' haiwezi kugusa. Allex na Carina mle mle sasa mwenzio ana pungufu ya 2'' huwezi kusema itagusa kama yako. 15'' na 17'' hata kwa macho tu kuna tofauti kubwa sana.
Ulaya,Japan unaweza kuweka hata 18'' ingawa ni kubwa, ila kuna lami hutaona tatizo lolote. Ila hapa kwetu mashimo,lami haiko level hata 17'' ni issue hasa kwa gari kama Allex. Anyway hio 15'' ni ndogo sana haiwezi kumsumbua kwa kutoka 65-70.mkuu hizi size 17 sijabadili zilikuja na gari but tatizo lilikuja pale nilipoweka tairi za 50 badala ya 45. Hizi za 45 zilikua na nyama ndogo sana ndio zilizokuja na gari but za 50 zikawa zimejaa kidogo ndio zikaleta shida. Bahat nzuri kwenye website nilipoinunua hawajatoa picha naambatanisha.View attachment 1098349
mkuu zinakwaruza tena unaweza damage matairi ukaingia kwenye cost zingine, bora u consult na wajuzi wa mambo uone kama utaweza weka spacer
mkuu hizi size 17 sijabadili zilikuja na gari but tatizo lilikuja pale nilipoweka tairi za 50 badala ya 45. Hizi za 45 zilikua na nyama ndogo sana ndio zilizokuja na gari but za 50 zikawa zimejaa kidogo ndio zikaleta shida. Bahat nzuri kwenye website nilipoinunua hawajatoa picha naambatanisha.View attachment 1098349
mkuu unaweza kutoa elimu kidogo kuhusu spacer!? matatizo ambayo naweza kuyapata ukiacha ku disturb stability?Simshauri kuweka spacer. Hizo ni mbaya zaidi maana zinaondoa stability ya gari. Unajua hizi gari zinaundwa kwa vipimo. So asiweke spacer otherwise arudi kwenye tyres za awali kama amepanga ahame huko kwnye barabara mbaya. Kama ni kwake anunue gari ya juu.
Alex kwa hiyo tyre size uliyoweka lazima iguse....205/50 r 17 si tairi ya kitotoallex mkuu
Kama una comprehensive insurance na ukapata mzinga, jamaa wakija kukagua gari wakakuta hayo madude hulipwi.mkuu unaweza kutoa elimu kidogo kuhusu spacer!? matatizo ambayo naweza kuyapata ukiacha ku disturb stability?
duh hii kali aiseeKama una comprehensive insurance na ukapata mzinga, jamaa wakija kukagua gari wakakuta hayo madude hulipwi.