Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

Keyala

Member
Sep 11, 2014
60
29
Nataka kuongeza ground clearance ya gari (Toyota Isis) kwa kubadilisha tairi kutoka 195/65 R15 na kuweka 195/70R15 Je hiyo itasaidia? Na je inaweza kuwa na athari zozote hasi kwa mwenendo mzima wa gari?
 
mkuu mimi zangu zilikua 205/45r17 nikaweka 205/50r17 na zikawa fresh sasa balaa linakuja ukiwa speed halafu ukapita sehem yenye kimuinuko au shimo au sehem yeyote inayoweza kufanya gari idunde matairi yanakwaruza kwenye bodi...
 
KWa mfano kwenye bumps hizi za mjini kama upo speed zinakwaruza pia?
 
mkuu mimi zangu zilikua 205/45r17 nikaweka 205/50r17 na zikawa fresh sasa balaa linakuja ukiwa speed halafu ukapita sehem yenye kimuinuko au shimo au sehem yeyote inayoweza kufanya gari idunde matairi yanakwaruza kwenye bodi...
Tatizo umeweka rims kubwa kwenye gari ndogo. 17'' kwa Toyota Allex hata ungerudishia yale yale bado kwenye mashimo ingedunda. Huyu mwenzio gari yake ina 15'' haiwezi kugusa. Allex na Carina mle mle sasa mwenzio ana pungufu ya 2'' huwezi kusema itagusa kama yako. 15'' na 17'' hata kwa macho tu kuna tofauti kubwa sana.
 
mkuu hizi size 17 sijabadili zilikuja na gari but tatizo lilikuja pale nilipoweka tairi za 50 badala ya 45. Hizi za 45 zilikua na nyama ndogo sana ndio zilizokuja na gari but za 50 zikawa zimejaa kidogo ndio zikaleta shida. Bahat nzuri kwenye website nilipoinunua hawajatoa picha naambatanisha.
1098349
 
mkuu hizi size 17 sijabadili zilikuja na gari but tatizo lilikuja pale nilipoweka tairi za 50 badala ya 45. Hizi za 45 zilikua na nyama ndogo sana ndio zilizokuja na gari but za 50 zikawa zimejaa kidogo ndio zikaleta shida. Bahat nzuri kwenye website nilipoinunua hawajatoa picha naambatanisha.View attachment 1098349
Ulaya,Japan unaweza kuweka hata 18'' ingawa ni kubwa, ila kuna lami hutaona tatizo lolote. Ila hapa kwetu mashimo,lami haiko level hata 17'' ni issue hasa kwa gari kama Allex. Anyway hio 15'' ni ndogo sana haiwezi kumsumbua kwa kutoka 65-70.
Mimi nilishabadili 225/55R16 to 225/60R16 gari iliinuka vizuri na tairi hazikisumbua.
 
Simshauri kuweka spacer. Hizo ni mbaya zaidi maana zinaondoa stability ya gari. Unajua hizi gari zinaundwa kwa vipimo. So asiweke spacer otherwise arudi kwenye tyres za awali kama amepanga ahame huko kwnye barabara mbaya. Kama ni kwake anunue gari ya juu.

mkuu zinakwaruza tena unaweza damage matairi ukaingia kwenye cost zingine, bora u consult na wajuzi wa mambo uone kama utaweza weka spacer
 
Low profile! Right?

mkuu hizi size 17 sijabadili zilikuja na gari but tatizo lilikuja pale nilipoweka tairi za 50 badala ya 45. Hizi za 45 zilikua na nyama ndogo sana ndio zilizokuja na gari but za 50 zikawa zimejaa kidogo ndio zikaleta shida. Bahat nzuri kwenye website nilipoinunua hawajatoa picha naambatanisha.View attachment 1098349
 
Badilisha ila usiweke kubwa sana. Jaribu kubadili moja kwa tairi za mbele uone kama haligusi kule juu kwenye 'wishbone'...
By the way, nilibadilisha tairi za nyuma nikaweka kubwa, zilikuwa zina spin sana. Yani nikitaka kuondoka, gari lazima ispin... The car was very very aggressive. Na hivi ilikuwa na engine ya V6, 3000cc!
 
Simshauri kuweka spacer. Hizo ni mbaya zaidi maana zinaondoa stability ya gari. Unajua hizi gari zinaundwa kwa vipimo. So asiweke spacer otherwise arudi kwenye tyres za awali kama amepanga ahame huko kwnye barabara mbaya. Kama ni kwake anunue gari ya juu.
mkuu unaweza kutoa elimu kidogo kuhusu spacer!? matatizo ambayo naweza kuyapata ukiacha ku disturb stability?
 
Kuna mtaalamu ameniambia kuwa nikiweka 195/70/R15 ulaji wa mafuta utaongezeka kwa asilimia 3.5% hivi. Nadhani ukilinganisha na uchakavu wa bumper gari inapata kwa kugusa ardhi kwa kila bonde... itakuwa ni gharama inayovumilika.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom