Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

K

Keyala

Member
Joined
Sep 11, 2014
Messages
58
Points
95
K

Keyala

Member
Joined Sep 11, 2014
58 95
Simshauri kuweka spacer. Hizo ni mbaya zaidi maana zinaondoa stability ya gari. Unajua hizi gari zinaundwa kwa vipimo. So asiweke spacer otherwise arudi kwenye tyres za awali kama amepanga ahame huko kwnye barabara mbaya. Kama ni kwake anunue gari ya juu.
Sifikirii kabisa kuweka spacer kwa sababu nasikia inaweza kuwababisha gari kupoteza balans yake hivyo uwezekano wa kupata ajali ukiwa kasi ni unaongezeka...
 
K

Keyala

Member
Joined
Sep 11, 2014
Messages
58
Points
95
K

Keyala

Member
Joined Sep 11, 2014
58 95
Tatizo umeweka rims kubwa kwenye gari ndogo. 17'' kwa Toyota Allex hata ungerudishia yale yale bado kwenye mashimo ingedunda. Huyu mwenzio gari yake ina 15'' haiwezi kugusa. Allex na Carina mle mle sasa mwenzio ana pungufu ya 2'' huwezi kusema itagusa kama yako. 15'' na 17'' hata kwa macho tu kuna tofauti kubwa sana.
Hivi kutoka 195/65/R15 na kuweka 195/7/R15 gari itainuka kwa sentimeta ngapi? Zinazidi 2cm?
 
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
4,799
Points
2,000
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
4,799 2,000
Nataka kuongeza ground clearance ya gari (Toyota Isis) kwa kubadilisha tairi kutoka 195/65 R15 na kuweka 195/70R15 Je hiyo itasaidia? Na je inaweza kuwa na athari zozote hasi kwa mwenendo mzima wa gari?
Ni ya mwaka gani mkuu?
 
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
4,799
Points
2,000
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
4,799 2,000
Nataka kuongeza ground clearance ya gari (Toyota Isis) kwa kubadilisha tairi kutoka 195/65 R15 na kuweka 195/70R15 Je hiyo itasaidia? Na je inaweza kuwa na athari zozote hasi kwa mwenendo mzima wa gari?
screen-shot-2019-05-17-at-11-39-54-png.1100281


Nafikiri hamna shida.Sijafanikiwa kupata sehemu wanayoshauri au kutoa experience ya kubadili 195/65 R15 kwenda 195/70 R15.

Hivyo nadhani hamna shida kama tu una hizo mm 19.5 za ziada.Issue inaweza ikaja kama kutakua na ukaguzi wa gari wanawezadai matairi yako sio sahihi hivyo ubadilishe(ndio maana hapo umeona hiyo 2.98% ina rangi nyekundu).Unaweza ukadadisi pia kwa magari mengine yaliyoinuliwa(kama ukiona wameweka size gn...
 

Forum statistics

Threads 1,307,390
Members 502,393
Posts 31,610,957
Top