KUBADILI TAHASUSI NA KUHAMA SHULE 2019/2020

KUBADILI TAHASUSI NA KUHAMA SHULE 2019/2020

Joined
Jun 16, 2019
Posts
37
Reaction score
36
Naomba kujuzwa jamani Nina rafiki yangu amepangiwa shule EGM lengo lake ni kusoma CBG lkn hyo CBG haipo kwenye shule aliochaguliwa kwa hyo anahama xhule ili abadili comb nataka kujuzwa hii imekaaje kwa mwaka 2019/2020
 
Kwa urahisi zaidi tafuta shule yenye nafasi, ukipata kwa kuthibitishiwa omba uhamisho kutoka shule aliyochaguliwa, ukitoa sababu kama za kiafya. Kumbuka Ofisi za Mkoa, na TAMISEMI zitahusika pia kuidhinisha Uhamisho.
 
Mkuu Vp kuhux hili tamko LA tamisemi kwamba wanafunzi wataruhusiwa kuhama baada ya muhula wa kwanza wa masomo kukamilika
 
Back
Top Bottom