Ndio maana ikaitwa J1 walimaanisha Jipu 1Hii simu ni jipu kwa kweli
Ndio maana ikaitwa J1 walimaanisha Jipu 1
nilikujib kwenye thread yangu sijui ulionaHabari Jf
Naomba kujua namna ya kubadili storage kwenye simu yangu toka internal storage kwenda extenal storage (SD card).
duh ni bahati sijatumia ioo sim ila ningejuaNiliona mkuu asante nimefanya hivyo lakini bado kuna tatizo