sikuhizi ni wachache sana na mimi natamani niwe miongoni mwa hao wachache
Mwanaume mwenye status nani atakataa kuitwa jina lake? By z way mi sifagilii kuupa umaarufu ukoo wa mwenzio wakwenu udidimie. Unioe alafu uwe baba angu tena na wanetu baba yao atakuwa nanii???
mahaba niue haya.mi naona kama ni heshima na higher level of submission