Kubadili kituo cha kazi

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
Nilianza kazi tar 2-3-2012 mazingira niliyopangwa kufanyia kazi ni mazuri ila kuna memba mmmja wa staff yetu anatabia ya kuwapaka wafanyakazi wenzake matope halafu hutoa siri za wenzake katika jamii inayotuzunguka kama vile kiwango cha mshahara unaoupata,kiwango chako cha elimu n.k hivyo basi kutokana mazingira hayo nashindwa kufanya kazi kwa kwa amani na kwa ufanisi je kisheria ninaruhusiwa kuomba kubadilishiwa kituo cha kazi? Nawasilisha!
 
maelezo yako yamejaa utata unaoashiria uzembe. Hayo 'matope' na 'siri' ni vitu gani ambavyo vitamfanya mtu makini na mwajibikaji kukimbia? Huko unakotaka kwenda umehakikisha hakuna wapaka matope na watoa 'siri'? Nakushauri ujitazame mwenyewe kwanza.
 
ok thank you!
 
Back
Top Bottom