Kubadili engine ya harrier 3.0 four

Ulaji wa mafuta, 5s ni ndogo kwa 2AZ
 
Ila mleta mada hajasema kwamba alivyoinunua hio gari alifanya service? Kama kuweka Engine Oil, Gearbox Oil, Air Cleaner, Fuel Filter mpya au kanunua na kulipeleka barabarani tuu,?
 
Ulaji wa mafuta, 5s ni ndogo kwa 2AZ
Ok,ila 5S ina cc 2160(bila mfumo mahsusi wa Umeme-VVTi) ambapo inaelekea kufanana na RAV 4 Old Model(3S-cc 1998) ambayo kila mmoja anaijua kwa ulaji wa mafuta. Engine code 2AZ CC -2362 iko poa sana kwa ulaji wa mafuta(kama haijachoka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…