Hapo nami nakuunga mkono maana Mungu tunaemuabudu wakristo ni Mungu aliehai Mungu wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo(Israel) aliemtoa mwanawe wa pekee yani Yesu Kristo aje aukomboe ulimwengu katika dhambi. Asie muamini Yesu Kristo kuwa ni mwana wa Mungu huyo hatuko pamoja ni mpinga Kristo ambae kwa imani yangu hamwamini Mungu.Mkuu;
Umetoa ushauri mzuri sana ila ukamalizia vibaya. Nakubaliana nawe kuwa, kama mkiridhiana kuwa pamoja regardless ya imani zenu hapo sawa tu. Lakini ninachokataa ni kule kutuaminisha kuwa mungu tunaye muabudu ni mmoja. Hata siku moja usiniambie kuwa Allah Subuhannah Wa Taallah ati ni sawa na huyo wa wagalatia. Hapanaaaaa. Tena usiwachokoze watu wake. Tena akija kwangu hamalizi mwezi kabla sijamsilimisha.
ni ushauri mzuri ila wapo walio shauri kuwa huyo ndio anafaa kwani hatokua mjuaji au mgonvi kwani anajua wewe ndio kimbilio pekee kwake
Kwahiyo mkuu allah unayemuabudu ww ni tofauti na anayeabudiwa na wagalatia? Huko ni kujiona ww upo sahihi kwa mungu na wenzio sio sahihi jambo ambalo na wenzio watakuona haupo sahihi bali wao wapo sahihiMkuu;
Umetoa ushauri mzuri sana ila ukamalizia vibaya. Nakubaliana nawe kuwa, kama mkiridhiana kuwa pamoja regardless ya imani zenu hapo sawa tu. Lakini ninachokataa ni kule kutuaminisha kuwa mungu tunaye muabudu ni mmoja. Hata siku moja usiniambie kuwa Allah Subuhannah Wa Taallah ati ni sawa na huyo wa wagalatia. Hapanaaaaa. Tena usiwachokoze watu wake. Tena akija kwangu hamalizi mwezi kabla sijamsilimisha.
Kama umeridhia na huwezi jutia ni saw tu maana Mwenyezi Mungu tunae muabudu ni mmoja
Mungu ni mmoja tu ila tunaabudu kwa njia tofauti. Wote tunasali kuomba Mungu. Kwenye issue ya watoto ni kuwa watoto huanza kupata dhambi wakibalee au kuvunja ungo hapo tayari wapo above 16, kwahiyo kuanzia hapo watachagua dini watakayo. Mnaweza wazazi wote kuwa dini moja ila mtoto akikua anaamua yake. Dini sio issue kabisa..
Nakushauri umpende tena sana,daa umegusa penyewe kabisa kaka mimi nina mpenzi ambae ni muislamu pia nimwalimu wa shule ya msingi moja wapo hapa daa najua hawezi kuwemo humu kwani nilimpiga marufuku kujihusisha na hii mitandao
sasa tatizo lipo hapa kila mala amekua akinilazimisha kumuoa na akikili kuwa tayari kubadilisha dini yake na kuja kwangu ila nikiangalia kwaupande wa ndugu zake yani baba mama kaka zakee yani duuu niwatu wadini hiyo kupitiliza huwa namtaadharisha juu ya kutengwa na ndugu zake lakini yeye hajali hilo ila mawazo yangu juu ya wazazi wake kweli sijui kama hawataniloga hebu nishaurini kwakupitia uzi huu wa mdau alie uanzisha
Kwahiyo mkuu allah unayemuabudu ww ni tofauti na anayeabudiwa na wagalatia? Huko ni kujiona ww upo sahihi kwa mungu na wenzio sio sahihi jambo ambalo na wenzio watakuona haupo sahihi bali wao wapo sahihi
Hahhahahaaaaaa umenichekeshaMkuu;
Umetoa ushauri mzuri sana ila ukamalizia vibaya. Nakubaliana nawe kuwa, kama mkiridhiana kuwa pamoja regardless ya imani zenu hapo sawa tu. Lakini ninachokataa ni kule kutuaminisha kuwa mungu tunaye muabudu ni mmoja. Hata siku moja usiniambie kuwa Allah Subuhannah Wa Taallah ati ni sawa na huyo wa wagalatia. Hapanaaaaa. Tena usiwachokoze watu wake. Tena akija kwangu hamalizi mwezi kabla sijamsilimisha.
Hana dini kivipiBinafsi naamini mwanamke hana dini