Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,050
- 1,359
Niliifanyia Recovery simu yangu Huawei P6 haijawaka mpk leo, inaishia kutoa nembo ya ua tu la Huawei
niuzie hiyo cm yako mkuu nina shida na touch yake
Niliifanyia Recovery simu yangu Huawei P6 haijawaka mpk leo, inaishia kutoa nembo ya ua tu la Huawei
niuzie hiyo cm yako mkuu nina shida na touch yake
Hili zoezi limeshindikana Wakuu, ngoja nijaribu kuwapelekea Wataalamu wa Software labda
Camera ya simu yangu ni 8megapixel naweza ifanya iwe 16 megapixel, naomba ushauri
Nina Huawei P6 inatumia android 4.2.2 ninataka ku upgradekwenda lollipop kama ikiwezekana lakini google sijaona ROM yake pamoja na kuwa simu iko Rooted. Msaada kwa hili
Inasema no updates foundupdate hadi kitkat official, ukicheki update inasemaje simu?
huwezi na 2mp inatosha kujaza kioo cha 1080p kama vile TV za full hd. kwa matumizi ya nyumbani 5mp inatosha kabisa.
labda kama unatengeneza mabango ya barabarani ndio utahitaji 16mp.
quality ya camera si megapixel.
nlikuwa na hyo smu na nli update manually kwenda kit kat,nchek nkupe firmware ya kit katNina Huawei P6 inatumia android 4.2.2 ninataka ku upgradekwenda lollipop kama ikiwezekana lakini google sijaona ROM yake pamoja na kuwa simu iko Rooted. Msaada kwa hili
Hili zoezi limeshindikana Wakuu, ngoja nijaribu kuwapelekea Wataalamu wa Software labda[/Bnafsi ishanitokeaga kk,ntafute nkusaidie
asante kwa ushauri wako, tatizo sio kujaza kioo tatizo nipate ile clear HD and clarity ya picture, ndo maana nikauliza
Niliifanyia Recovery simu yangu Huawei P6 haijawaka mpk leo, inaishia kutoa nembo ya ua tu la Huawei
asante mkuuthen tafuta simu yenye sensor kubwa achana na megapixel
umeshindwa sehemu gani? Nikiiwasha simu yangu inaishia hapo tu, haiendelei na nilijaribu kudownload firmware ya hiyo P6 na kuiweka kwenye MemoryCard na kuiweka kwenye hiyo simu lkn hakuna la zaidi
nitafute kk nikusaidieumeshindwa sehemu gani? Nikiiwasha simu yangu inaishia hapo tu, haiendelei na nilijaribu kudownload firmware ya hiyo P6 na kuiweka kwenye MemoryCard na kuiweka kwenye hiyo simu lkn hakuna la zaidi
Hili zoezi limeshindikana Wakuu, ngoja nijaribu kuwapelekea Wataalamu wa Software labda[/Bnafsi ishanitokeaga kk,ntafute nkusaidie
Kaka nikiiwasha inaishia hapo tu na haijawahi funguliwa na ina mwezi na Nusu tu toka niinunue
then tafuta simu yenye sensor kubwa achana na megapixel
Kaka nikiiwasha inaishia hapo tu na haijawahi funguliwa na ina mwezi na Nusu tu toka niinunue
Umeflash firmware? Sababu hujaleta feedback yoyote ya njia ya juu uliyoambiwa ya kuflash firmware