Kubabuka mdomo

crucial

Member
Jan 24, 2013
30
2
Habari! kuna ndugu yangu kababuka mdomo. Pia una maumivi. Yaani umekua mwekundu! kama kavuta bangi lakini hajawahi tumia! labda ni lipbam tu hiz za kawaida.

Je kuna tiba ya huu ugonjwa kwa wataalam wa ngozi tafadhali
 
Kula vitu vyenye vitamin c .. Halafu usiwe unaingia chumvini kwa kila papuchi pole
 
Unaweza kuwa hanyonyi Yake ika za wengine anakula
Miss chaga,wajuakuzama kwenye NaCl ndio silaha pekee kwa siku hizi ili kujichukulia maksi kwa mchuchu
sasa kwenye hadhara watu wanasema hawanyonyi ila wakiwa ndani ya kuta nne,ni full kujichukulia maks(kunyonya)

NB unapaswa kuifanyia Vetting papuchi before(kama ina hadhi ya kuibugiwa au la):)
 
Hiyo papuch ina kuwa kemicali gani mpaka iunguze mdomo wajameni???na siyo zote ni za kunyonya,kabla ya mwambie aifanyie usafi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom