Nadhani huu ndio mzizi wa neno, ila maana wanayoitumia watangazaji ni pale mchezaji anapobabaika kuucheza mpira kutokana na kupewa vibaya (pasi mbovu) au hesabu za kuucheza zinapofeli.
Dah kweli mkuu,
nahisi hili neno halipo kwenye kamusi.Ni kama kumfanya opponent atoe mpira nje bila ridhaa yake,ili wewe player uweze kufaidika na deadball hasa corner kick na mipira ya kurusha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.