Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,595
- 9,720
NimelewaOkay 👍
NimelewaOkay 👍
Babu kuna kitu nahisi kuhusu wewe ila 🤐🤐 haya baki doria
🤐🤐🤐 jicho langu nimeona kitu ila no wayKitu gani unahisi binti!
Kuhusu doria; Mimi sipo doria. 😊
🤐🤐🤐 jicho langu nimeona kitu ila no way
🔥🔥🔥 siwezi kuongeza neno nitaharibu babuSio vibaya mtu mtu kuamini hisia au macho yake! 😊
Vizuri endelea kuyaamini macho yako.
🔥🔥🔥 siwezi kuongeza neno nitaharibu babu
Mlevi wa piliNimelewa
Sometimes kishupaza mishipa ya shingo kuwashabikia wakoloni inakuwa sio kweli… japokuwa tunajua wao ndo wababe wetu ila ndoivo hamna namna ilimradi ushabiki tuAcha watolewe. Hata wangeshinda wasingefika popote wajinga sana
Hamna kitu, kawaida tu… ujerumani akikugundua dhaifu atakutwanga kama kakukodi. Ila akikutana na wabishi mbugi inapigwa kweli, we subiri wakutane na watu wanaojua kilichowapeleka na wanaojitambua kama Japan au Korea, au Cape Verde uone kutakavyowaka moto 😀😀Ile ni German machine
Huwa hawalei wala kudharau ujinga
Hata akicheza na Somalia anamuwwkea full mkoko
Ova
Cape Verde leo atapigwa na Uruguay Spain si aliwaletea show gameHamna kitu, kawaida tu… ujerumani akikugundua dhaifu atakutwanga kama kakukodi. Ila akikutana na wabishi mbugi inapigwa kweli, we subiri wakutane na watu wanaojua kilichowapeleka na wanaojitambua kama Japan au Korea, au Cape Verde uone kutakavyowaka moto 😀😀
Mkubwa unaongea kwa kuwadharau sana Cape verde na kwa kujiamini… bila shaka utakuwa umeshiba 😀Cape Verde leo atapigwa na Uruguay Spain si aliwaletea show game
Ndomn ile draw walishangilia kama wameshinda
Ujeruma huwa hadharau mechi na ukimtoa shuguli yake si ndogo
Ova
Ngj utaonaMkubwa unaongea kwa kuwadharau sana Cape verde na kwa kujiamini… bila shaka utakuwa umeshiba 😀
Dawa ya Ujerumani Korea, wanajua alichowafanya mwaka ule na akawatoa kenge hao 😅