loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,719
- 6,257
Naiombea sana na nishabiki wao mkubwa wa Morocco licha ni kobazMorocco wanakusubiri uwashabikie
Naiombea sana na nishabiki wao mkubwa wa Morocco licha ni kobazMorocco wanakusubiri uwashabikie
Vizuri usitusahau na wamisriNaiombea sana na nishabiki wao mkubwa wa Morocco licha ni kobaz
Nilihuzunika sana walivyodraw na belgiumVizuri usitusahsu na wamisri
Vipi Tunisia alivyogongwa tanoNilihuzunika sana walivyodraw na belgium
Rombo panda gari za himo ukujeNiko KOKORIKO BAR huku rombo karibu kabisa na Kenya.
Naisubiri hiyo mechi.Naiombea sana na nishabiki wao mkubwa wa Morocco licha ni kobaz
Nitatia time soon.Rombo panda gari za himo ukuje
Au wema ni hazina?Naisubiri hiyo mechi.
Nione
Acha watolewe. Hata wangeshinda wasingefika popote wajinga sanaNa kweli yalivyo vichwa mikaa yamefungwa 😅
Simon Adingra kakosa goli la wazi kabisa yule Zuzu… waafrika sijui tulirogwa na nani 🤦🏾♂️
Yeah, ni jambo la kusubiri na kuona.Au wema ni hazina?
Mie mwisho leoShida ya waafrika ni ile ile, hii game ilikuwa yao asubuhi sana. Mimi nilishaacha kusikitika juu ya timu za kiafrika, muda sana.
Mie mwisho leo
Ni shida tupu!Ivory coast ana laana huyu...mechi ilikuwa ya kwake, Kila wakati wanakaanga chipsi...Yaani timu za Afrika ambazo ziko serious ni hizi za kiarabu, timu za kiarabu zikiwa ziko vizuri basi zinajitoa Sana halafu wako makini mno,ila hawa wenzetu wanazingua Sana, Wana sapoti kubwa but mwisho ni vilio...unaona kabisa quality ipo lakini ni bangi Tu ndo kinasumbua, ukiacha adingra, walipata nafasi nyingi za 2V2, 3V3 nk, mtu Yuko yy na opponent kwenye box ndio Kwanza Hana Habari anatoa pasi nyuma...