Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
-
- #61
Haswa huu ni udhaifu wake mkuu.Kupinga kuwa uwezo wake ni mkubwa ufinyu wa kifikra.
Ni kweli uwezo wake ni mdogo. Na kusema abadilishwe wala siyo zambi.
ANA UWEZO MDOGO WA KUJENGA HOJA
ww nchi hiii haitaki upinzani kwanza elewa ivooooo
sasa hii nayo ni mada kiongozi, huu ni upupu tu
Mbowe huyu wa Lowassa sio yule tuliyemjua.
Huyo dr slaa alikuwa anaingia bungeni,mbona mnakuwa wajinga kiasi hikiSasa ni dhahiri udhaifu wa Mbowe unaonekana wazi......na hii inasababishwa kwa kutokuwepo kwa Dr Slaa
uvccm kuishauri CDM ni ndoto,mbowe kazia hapo hapo.Heri ya Muungano wadau.
Nimejiuliza tu,nikaona ni vema pia nipate maoni kutoka kwa werevu wa mambo.Ila mimi kwa upande wangu nimeona ya kuwa KUB,Mbowe amepwaya na abadilishwe ili tupate KUB mbadala mwenye weledi.
Na hapa sio jambo la Aibu amwachie Rwakatare Wilfred ambaye alipata kuwa KUB (2000/2005).
Japo kulikuwa na ugumu lakini mara kadhaa aliongoza kambi ya upinzani iliyoweza kuwashawawishi wabunge wa CCM kuunga mkono hoja dhidi ya serikali.
Ikumbukwe tu mara kadhaa KUB wa sasa hayupo "consistent" hili linatokana na sababu kwamba yeye kama kiongozi huyumbishwa na mawazo ya wasaidizi wake yaani hana anachosimamia kama kiongozi,ikitokea Lisu,Kubenea,Mnyika wakatoa ushauri(miluzi) hukosa uamuzi.
Kakosa "Focus" na kutengeneza hoja endelevu ili kuleta matokeo na badala yake anajikita na vijihabari na matukio yasiyo na msingi.
Uwezo wake wa kuchimba ripoti na kuwasilisha mada za kitaalam kwenye hadhira ni mdogo..mara nyingi huongea kwa kufoka foka (povu),hana "details" na mambo mengi ya msingi na sio msomaji.
Ni hayo tu,nipo tayari kukosolewa...nimelazimika kuleta haya kwa sababu KUB ni mtumishi wa umma na analipwa kwa kodi zetu.
Hapo bado kuna network ya mkapa na JKHapo umenena. Hawezi kuwa consistency hata kidogo. Unajua ufisadi ni mtandao ambao haujali chama cha siasa. Lazima Mbowe aogope kwa mfano kuupinga ufisadi ndani ya serikali ya CCM kwa sababu hana uhakika kama Lowasa hayupo kwenye hiyo network au mtandao wa ufisadi huo. Ukidhani kuwa network ya Karamagi, Chenge, Rostam Aziz na Lowasa imefutika eti kwa vile Lowasa kahama CCM ni kupotoka.
mkuu sio kila mda ni kuzungusha mikono tuToa boriti kwenye jicho lako ndo utoe kitanzi kwenye jicho na mwenzako. Wapinzan au Mbowe anakuhusu nini?
Acha Mawazo mgando leo ni public holiday naona unataka ulipwe 7 x 2 . Tumekustukia
1995-2005Huyo dr slaa alikuwa anaingia bungeni,mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki
Mwenzetu unaliona wapi BUNGE? Au ni hizo clip zilizochujwa unaita ni mjadala wa Bunge?CCM YETU.Heri ya Muungano wadau.
Nimejiuliza tu,nikaona ni vema pia nipate maoni kutoka kwa werevu wa mambo.Ila mimi kwa upande wangu nimeona ya kuwa KUB,Mbowe amepwaya na abadilishwe ili tupate KUB mbadala mwenye weledi.
Na hapa sio jambo la Aibu amwachie Rwakatare Wilfred ambaye alipata kuwa KUB (2000/2005).
Japo kulikuwa na ugumu lakini mara kadhaa aliongoza kambi ya upinzani iliyoweza kuwashawawishi wabunge wa CCM kuunga mkono hoja dhidi ya serikali.
Ikumbukwe tu mara kadhaa KUB wa sasa hayupo "consistent" hili linatokana na sababu kwamba yeye kama kiongozi huyumbishwa na mawazo ya wasaidizi wake yaani hana anachosimamia kama kiongozi,ikitokea Lisu,Kubenea,Mnyika wakatoa ushauri(miluzi) hukosa uamuzi.
Kakosa "Focus" na kutengeneza hoja endelevu ili kuleta matokeo na badala yake anajikita na vijihabari na matukio yasiyo na msingi.
Uwezo wake wa kuchimba ripoti na kuwasilisha mada za kitaalam kwenye hadhira ni mdogo..mara nyingi huongea kwa kufoka foka (povu),hana "details" na mambo mengi ya msingi na sio msomaji.
Ni hayo tu,nipo tayari kukosolewa...nimelazimika kuleta haya kwa sababu KUB ni mtumishi wa umma na analipwa kwa kodi zetu.
Mjibu mwenzako kwa hojaKWELI WW KILAZA,KATIBA INAVUNJWA UNACHEKELEA JAPO KATIBA YENYEWE MBOVU JAPO HAO MACCM WANGEIHESHIMU LAKINI WANATAMANI WAIFUTILIE MBALI.