kuna toto moja matata sana litakufaa, ngoja nimuulize kabila lake.Toto la Kirangi?
hamisi si ufanye mambo tu umtaftie kisura mwenzie achana na mambo ya kuasili. labda ufungue NGO ya kuwalea kama shida ni kuchangia kwenye jamii.
kuna toto moja matata sana litakufaa, ngoja nimuulize kabila lake.
Unataka kutajiwa sifa tu, madeni yako ninayokudai mbona hutaki nitaje?Hahahahaaa
Dah umenishusha hadhi. Kuna wachuchu ukisema Masaki wanajua ni kale kamtaa pale Kerege....
Bora unifagilie nna gereji pale Temeke kwa Sokota kuliko nimiliki ghorofa Masaki...
Kupanga ni kuchagua.
toto toto ukiliona mwenyewe utadinda kabla hujaguswaHebu nipe description...anazo hind quarters? Mbolea je? Nyonyo? Nywele zikoje?
hehehehe, hako kapya au? mi nakajua kabeauty ka kiarabuEti eeh?
Ngoja basi nirudishe majeshi kwa haka ka 'beauty queen' ka Kichaga😀.
toto toto ukiliona mwenyewe utadinda kabla hujaguswa
hehehehe, hako kapya au? mi nakajua kabeauty ka kiarabu
tembea na kopo tu la kumwagia udenda humo. lolToto shakhsia hakyanani😛.
Sasa blaza... mambo ya kibinafsi tutajadili pembeni basi. Hata hivyo nlikuwa nakuaga.. naelekea Sumbawanga na kule kama unavojua hakuna 'network'.Unataka kutajiwa sifa tu, madeni yako ninayokudai mbona hutaki nitaje?
hehehehehe!!! unajua, sikwambii.Hako siyo kapya.
Nataka nilikagawa lakini nataka nimnyang'anye niliyemgaia...
Halafu...ka Kiarabu ka wapi tena hako? Umenipoteza hapo...
tembea na kopo tu la kumwagia udenda humo. lol
hehehehehe!!! unajua, sikwambii.
Sasa blaza... mambo ya kibinafsi tutajadili pembeni basi. Hata hivyo nlikuwa nakuaga.. naelekea Sumbawanga na kule kama unavojua hakuna 'network'.
hahahahaha!!! kama kubwa sana usivae kimodo, staki uumbuke kabla ya mamboNa dudu itabidi niibane kwa chupi ya bambino.
kisura hatokubali umgawe aunt yake, utanuniwa mwaka mzima.Huntendei haki Mwajuma...ntakugawa na wewe...
Halotel ni huko mijini kwenu. Sumbawanga mitandao yote inakamataSumbawaga hata Halotel hakuna?
Huku Ikungulyabashashi ni mwendo wa Halotel tu...hupotezi network
hahahahaha!!! kama kubwa sana usivae kimodo, staki uumbuke kabla ya mambo
kisura hatokubali umgawe aunt yake, utanuniwa mwaka mzima.
kisura apenda urembo, namtaftia na kijora ije full package.Halafu bado anakudai zile sandals za Kimasai ujue...