Kuasili mtoto


Nimekuelewa kaka lakini nadhani kuna kitu kimoja ambacho labda sikukigusia au sikukiweka wazi.

Ni hivi, pindi nitakapofanya hivyo [kuasili] basi nitachukua asiye na wazazi wala ndugu.

Wapo watoto wa hivyo.

Hao watoto wa ndugu unaowazungumzia wewe, umeshasema kabisa kuwa wana wazazi.

Sasa kama wana wazazi kwa nini mimi nijibebeshe wajibu wao? Si kila mtu awajibike na vyake, au?

Lengo langu ni kuasili mtoto yatima ambaye hajui hata ndugu zake ni akina nani.

And believe you me, that boy or girl will be the luckiest child in the world once he/she becomes my child.

I know how to take care of children.
 
A'fu we mzee wa lugha unampa sana mashiko komredi wangu Nyani Ngabu. Utasababisha makubaliano ya migawanyo ya wachuchu iegemee upande wake ilhali tulishakubaliana tutapokezana kwa amani...

Tafadhali usiegemee upande wa maboksi ukasahau huku nyumbani pia kuna matenga.

ATM hatuijui sisi ni waumini wa vibubu... tafadhali sana sheikh wangu...
 
Hahaha.

Wewe heshima yako ipo.

Nyani ana kisiwa Bongoyo, wewe una mtaa Masaki.

Nyie ligi kubwa.
 

Teh teh teh...Komredi...mbona humu tunagawiana vizuri tu.

We huoni mi nilivyowagawa?

Au hujaupata ubuyu wewe?

Wewe nimekugaia... Kiranga naye nimemgaia

Mi nadhani mgao nimeu-balance vizuri sana.

Au hadi nimwage ma evidence hapa?

Teh teh teh
 
Unapozungumzia kuasili mara nyingi watu wanaelewa hivyo kwamba ni mtoto yatima tena hasa wale ambao wengine walitupwa baada ya kuzaliwa.

Kuna rafiki yangu ameasili mtoto wa aina hiyo na wanampa maziwa ya chupa, na taratibu zake kwa watu wa ustawi wa jamii nazifamu na wao huwa wanafollow up maendeleo ya mtoto.

Kwakweli hili jambo ni la kiimani zaidi na inategemea unaishije kwanza na mke wako maana kwa Tanzania kama huna mke kidogo litakuwa ni zoezi gumu kiasi kama unahitaji mtoto mdogo kabisa.......

I will come back.......
 
Hahaha.

Wewe heshima yako ipo.

Nyani ana kisiwa Bongoyo, wewe una mtaa Masaki.

Nyie ligi kubwa.
Hahahahaaa

Dah umenishusha hadhi. Kuna wachuchu ukisema Masaki wanajua ni kale kamtaa pale Kerege....

Bora unifagilie nna gereji pale Temeke kwa Sokota kuliko nimiliki ghorofa Masaki...

Kupanga ni kuchagua.
 

Basi ndo hivyo.

Wale watoto wenye wazazi acha wazazi wao wawajibike kama ambavyo nawajibikwa kwa wa kwangu.

Nataka nibadili maisha ya mtu ambaye hana hata pa kuanzia maishani.
 
Yeah... nahisi Nyani Ngabu hajajua kwensekwensez za kuasili mtoto Daslam Tanzania. Ni ngumu na inahitaji uvumilivu kama wa kununua toyota stout iliyomshinda mangi wa Kibosho.

Nje ya Bongo... oh God hata mimi ningewaasilia hawa mabinti kaka yao mpendwa....
 
Hahaha.

Wewe heshima yako ipo.

Nyani ana kisiwa Bongoyo, wewe una mtaa Masaki.

Nyie ligi kubwa.

Hiyo ya kisiwa cha Bongoyo wananisingizia tu kama wanisingiziavyo ubabu.

Ila hongera sana kwa sloppy seconds😀
 
Kuasili na ujane wapi na wapi?

Futa ujinga kwanza ujue kuasili ni nini kabla ya kuparamia watu tushagharamia.

Ama sivyo utaparamiwa wewe.
Tena mwambie umegharamia vile vya bei ya juu kabisa[emoji108]
 
Halafu shem hebu acha kumfanyia baby angu ukorofi
 
Halafu shem hebu acha kumfanyia baby angu ukorofi! Hujui huyo ndio ameushikilia kamoyo kangu
 
Kuasili mtoto ndo ile watasha wanaita...CHILD ADOPTION...au??? kama ni hiyo iweje utamani ku plagiarize kazi za wenzako???. Ushauri wangu, piga kuni upate wa kwako mkuu!!!
eeeeeeh.
 
hamisi si ufanye mambo tu umtaftie kisura mwenzie achana na mambo ya kuasili. labda ufungue NGO ya kuwalea kama shida ni kuchangia kwenye jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…