Kuapishwa Mawaziri wapya Rais Magufuli kutoa lipi jipya kwa Baraza lake jipya ungwe ya lala salama?

Sitaki hata kumsikia bora nipo mbali

Utameza tu utake usitake
Wape wape vidonge vyao wakipenda wasipende wape tu
Mtazinywa tu kama mlizoea kununuliwa safari hiii hata kwa bure hamtakiwi
Mkomeee
Mjifunze
Na mjirekebisheee
Yaaaani naahaaam nizidi kuendelea kukuchamba weweeeee,,!!?
Sema tu namheshimu mleta huu Uzi
Nisimharibie uzi wake
Lkn ngekuchambaaa haasaaa weweeee mwenye kutembea kama umesahau chenchi kwenye daladala
 
Magufuli anatupeleka njia sahihi kabisa.Naamini hata bavicha watatega viredio vyao ili kupata kipi cha kuongelea
 
Utameza tu utake usitake
Wape wape vidonge vyao wakipenda wasipende wape tu
Mtazinywa tu kama mlizoea kununuliwa safari hiii hata kwa bure hamtakiwi
Mkomeee
Mjifunze
Na mjirekebisheee
Yaaaani naahaaam nizidi kuendelea kukuchamba weweeeee,,!!?
Sema tu namheshimu mleta huu Uzi
Nisimharibie uzi wake
Lkn ngekuchambaaa haasaaa weweeee mwenye kutembea kama umesahau chenchi kwenye daladala

Haya bana leo kwako kesho kwangu...Usinichambe bana....LOL
 
Wacha msingi mimi hadi FOUNDATION tena iliomiminwa kwa ZEGE
MIMI NALIKUBALI SAANA HILI JEMBE
Leo KILA MTU ANASUBIRIA NINI PRESIDAA ATASEMA
Yaani LIMERUDISHA HESHMA NCHINI KINOOOMAAAAAAA,,,,!!!!hilo tukubali tusikubali....
Walishabikia wa kenya ooooohhh democracy ooohhh wao wamesoma wameeendelea,,leeoooo wanachinjana
Manina
BABA JESKA HATUKUWAHI HATA KUOTA KATIKA NDOTO ZETU KUA JWTZ LEO WATAPEWA TENDA YA UKANDARASI WAITUMIKIE NCHI YAO KWA JASHO HUKU WAKILIPWA...
Hakuna mtz aliwaza hilo
PIGA KAZI BABA JESKA TUPOOOOOOOO NYUMA YAKOOO
Tupo pamoja
 
Back
Top Bottom