Kuapishwa Mawaziri wapya Rais Magufuli kutoa lipi jipya kwa Baraza lake jipya ungwe ya lala salama?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,388
2,000
Leo asubuhi saa 3:30 Rais Dr Magufuli atawaapisha Mawaziri wapya na wale waliohamishwa Wizara.

Tunatarajia nini kutoka kwa Rais Dr Magufuli kwa Baraza lake jipya katika ungwe ya lala salama?
 
Kashishi yetu

JF-Expert Member
Mar 22, 2014
2,375
2,000
Sijui maana alisema ataunda baraza dogo sasa naona kaliongeza, Sasa labda kwa kuwa limeongezeka TIJA itaongezeka hata sijui' Pia sijui kama Shonza alistahili kuwa Waziri huku kukiwa na wanaccm waliotukuka ndani ya chama kuliko huyu aliyetoka chadema juzi wala miiko ya sisiem haijui ,
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,072
2,000
Haulali kama mimi ninayesubiri kusikia sauti yake live!?:)

Nahisi anaweza waambia wao ndio waongeee, ila akiongea itakuwa bomba kama kuna kiti anataka kutueleza au kutuelewesha atafanya hivyo pia yeye mwenyewe.
 
stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,208
2,000
Rais wetu anajua anachokifanya na anauhakika na kazi yake,,
Hapo anapanga. Majeshi upya ili wazidi kujipanga na kuongeza nguvu za ziada..
Hua hanaha haraka ktk kazi yake,,,
Jk alivunja baraza la mawaziri mara 2 na akawapanga upya na kazi ikaendelea
Sasa JPM akifanya kitu kidooogo tu kila mmoja analitolea jicho na kulitafsiri tofaut
 
La msingi ni kumpa support tu katika utendaji wake
 
LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
7,684
2,000
hakuna kipya zaidi ya lugha za chuki na majigambo.mtaani hali mbaya.maneno hayawapi watu kula.
 
Sumti

JF-Expert Member
Jan 30, 2016
1,600
2,000
Sijui maana alisema ataunda baraza dogo sasa naona kaliongeza, Sasa labda kwa kuwa limeongezeka TIJA itaongezeka hata sijui' Pia sijui kama Shonza alistahili kuwa Waziri huku kukiwa na wanaccm waliotukuka ndani ya chama kuliko huyu aliyetoka chadema juzi wala miiko ya sisiem haijui ,
Mkuu. Tuelezee kidogo kuhusu Lowassa. Anaijua miiko ya Chadema? Au ndio hiyo bora liende?
 
Sumti

JF-Expert Member
Jan 30, 2016
1,600
2,000
Rais wetu anajua anachokifanya na anauhakika na kazi yake,,
Hapo anapanga. Majeshi upya ili wazidi kujipanga na kuongeza nguvu za ziada..
Hua hanaha haraka ktk kazi yake,,,
Jk alivunja baraza la mawaziri mara 2 na akawapanga upya na kazi ikaendelea
Sasa JPM akifanya kitu kidooogo tu kila mmoja analitolea jicho na kulitafsiri tofaut
Mkuu wanawashwawashwa wazoee bure tu, hawana jipya
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,570
2,000
Haulali kama mimi ninayesubiri kusikia sauti yake live!?:)

Nahisi anaweza waambia wao ndio waongeee, ila akiongea itakuwa bomba kama kuna kiti anataka kutueleza au kutuelewesha atafanya hivyo pia yeye mwenyewe.
Hata mimi nina shauku ya kumsikia Jemedali Magufuli, Mawaziri, Manaibu
Pamoja na Katibu mpya wa Bunge
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,810
2,000
Hakuna jipya zaidi ya dharau kibur visasi na ukosefu wa busara....!! One term kilaza!!
 
stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,208
2,000
Mkuu wanawashwawashwa wazoee bure tu, hawana jipya

Nadhani hukuilewa ile kauli
Hili lijamaa bana mimi nalikubali saana
Limerudisha heshima Nchini hio tukubali tukatae..
Na ndio maana kila kukikucha watu wanahof leo rais atasema nini,,!!!!?
Hao washwaji waliostaaf alikua akiwalenga kina sumayena wenzieasiwashwe washwe kulia lia mitandaoni na kwa waandish wa habari awe mpole tu kama mzee edo kina lau masha ma wengineo
 
Charles Dotter

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,200
2,000
Haulali kama mimi ninayesubiri kusikia sauti yake live!?:)

Nahisi anaweza waambia wao ndio waongeee, ila akiongea itakuwa bomba kama kuna kiti anataka kutueleza au kutuelewesha atafanya hivyo pia yeye mwenyewe.

Sitaki hata kumsikia bora nipo mbali
 
stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,208
2,000
La msingi ni kumpa support tu katika utendaji wake

Wacha msingi mimi hadi FOUNDATION tena iliomiminwa kwa ZEGE
MIMI NALIKUBALI SAANA HILI JEMBE
Leo KILA MTU ANASUBIRIA NINI PRESIDAA ATASEMA
Yaani LIMERUDISHA HESHMA NCHINI KINOOOMAAAAAAA,,,,!!!!hilo tukubali tusikubali....
Walishabikia wa kenya ooooohhh democracy ooohhh wao wamesoma wameeendelea,,leeoooo wanachinjana
Manina
BABA JESKA HATUKUWAHI HATA KUOTA KATIKA NDOTO ZETU KUA JWTZ LEO WATAPEWA TENDA YA UKANDARASI WAITUMIKIE NCHI YAO KWA JASHO HUKU WAKILIPWA...
Hakuna mtz aliwaza hilo
PIGA KAZI BABA JESKA TUPOOOOOOOO NYUMA YAKOOO
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom