JK siyo mjinga kiasi hicho. Katiba inasema kuwa Raisi atakayeshinda anapaswa kuchukua madaraka yake ndani ya siku saba. Kwa hiyo maandalizi ni sahihi kabisa na wala hayamaanishi ya kuwa ni JK ila ni yeyote atakayeshinda. JK ana matatizo yake lakini hili sasa nalo tumembambikizia tu
Wana JF,
Napenda kuwahabarisha kwa tetesi zilijili kwenya mtambo wangu kuwa maandalizi ya kumwapisha Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 3rd November,2010.
Maandalizi hayo yalisha anzaaaa kwa taarifa yenu i mean gari la nani lita mbeba huyu yule na yule na kadhalika.
Sasa Kazi imebakia kwa wale wanao wania majimbo i mean wabunge wanao taka uwaziri mjipange sasa huko mliko kwenye majimbo yenu mkaze buti kuchakachua hizo kura zenu na tukawaone mjengoni Dodoma kama kweli mtatufikisha 2015(Ari Zaidi, Nguvu Zaidi,Kasi Zaidi) na mkumbukeni hizo ahadi tutakuja kuwauliza next time.
Alafu kwa mbali ninaona mikono ya pongezi baina ya waliopigia CCM na waliopigia CHADEMA,TLP,NCCR-Mageuzi,CUF haitoki na wanatizamana kwa jicho pembe.
WATANZANIA HOYEEEE
Atakuwa amedanganywa na watendaji wake tena....!hakuna wa kumzuia JK kuapishwa wakalale mbele! au wajitangazie jamhuri yao uchagani sio huku kwetu Tanzania!
JK siyo mjinga kiasi hicho. Katiba inasema kuwa Raisi atakayeshinda anapaswa kuchukua madaraka yake ndani ya siku saba. Kwa hiyo maandalizi ni sahihi kabisa na wala hayamaanishi ya kuwa ni JK ila ni yeyote atakayeshinda. JK ana matatizo yake lakini hili sasa nalo tumembambikizia tu
Wana JF,
Napenda kuwahabarisha kwa tetesi zilijili kwenya mtambo wangu kuwa maandalizi ya kumwapisha Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 3rd November,2010.
Maandalizi hayo yalisha anzaaaa kwa taarifa yenu i mean gari la nani lita mbeba huyu yule na yule na kadhalika.
Sasa Kazi imebakia kwa wale wanao wania majimbo i mean wabunge wanao taka uwaziri mjipange sasa huko mliko kwenye majimbo yenu mkaze buti kuchakachua hizo kura zenu na tukawaone mjengoni Dodoma kama kweli mtatufikisha 2015(Ari Zaidi, Nguvu Zaidi,Kasi Zaidi) na mkumbukeni hizo ahadi tutakuja kuwauliza next time.
Alafu kwa mbali ninaona mikono ya pongezi baina ya waliopigia CCM na waliopigia CHADEMA,TLP,NCCR-Mageuzi,CUF haitoki na wanatizamana kwa jicho pembe.
WATANZANIA HOYEEEE
hakuna wa kumzuia JK kuapishwa wakalale mbele! au wajitangazie jamhuri yao uchagani sio huku kwetu Tanzania!