bado namuona mkuu hunyu ana walakini naichi kitu kwani open university wanasomaje...hehehe twenzetu,lol,
Kwa wazo lake licoaplicable kwa HKunani huko... Hz vurugu nyingne za kina PCBM hawez kutoboa online ndio maana huwez kuta open university wakitoa program zenye unasaba na hayo masomo kama udaktar au uhandisWewe naona huelewi vizuri Physics au Chemistry ya A LEVEL forget about private tution inahitaji watu wengi wenye uelewa tofauti hutakaa upate competent tuition unless utafute tuition kama tano hivi[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
Science kwa nijuavyo huwezi soma online ukafaulu na rudia tena haiwezekani hibi una drive vepe projector au mambo ya nand gate and gate sijui maelectrostatic online Uta BASHITE tu mwisho wa siku
usijali mamaa hapa ni kujipanga pia ukitizama kwa upande mwingine hii ni fursa na pia ni Durable kwa upandemwingineMkuu mama Ndalichako akiliafiki hili jambo,then atatafuta njia ya kuregulate,syllabus iwe inayojitosheleza na kama ni fees,wanafunzi watalipa wenyewe,lol,hii ya kuwafukuza wafanyakazi waliokua na vyeti hewa,inaawacha wafanyakazi wakiwa wamekata tama wafanye nini?? waanzie wapi,?tukiwa na mfumo wa kusoma online,wengi wakipata nafasi ya kusoma then tutakuwa na educated workforce,ambayo ni vizuri kwa maendeleo ya taifa.
Kwa arts na masomo ya biashara unaweza lakini ya sayansi(Chemistry, Bialogy&Fizikia yanahitaji muda zaidi na msaada wa mwalimu kwa karibu..
Kwa wazo lake licoaplicable kwa HKunani huko... Hz vurugu nyingne za kina PCBM hawez kutoboa online ndio maana huwez kuta open university wakitoa program zenye unasaba na hayo masomo kama udaktar au uhandis
U r too defensive madam... Lkn hii haindoi ukweli kwamba umeona mbali[emoji122] [emoji122]watu wanasoma science mpaka huu muda nakuandikia hapa,kuna watu wanasoma online, lol siwashangai hili ni jambo geni kwenu,lol mfumo toka Tanzania ipate uhuru ni wa kukremishwa na walimu darasani,njia mliyosoma hamtaki kukubali kuwa ni za longi,haziwi applicable tena,umeitaja open university mbona kuna courses kibao online Undergraduate courses - The Open University lol