[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] wazo zuri, hii isiwe kwa safari za nje ya nchi tu, hata ndani ya nchi, kupeana experiences za maeneo mbalimbali katika safari, ratiba. Na maeneo ya hifadhi (guest house/lodge).
Nakumbuka last year nilikuwa naenda somewhere namanyere/kirando nilikuwa hata sijui kirando ndo wapi ila kwa msaada wa mwana JF nilifika fresh, na alinipa ratiba kamili ya magari kutoka sumbawanga hadi kirando na alinielekeza sehem nzuri na salama kwa kulala, kwahiyo nilifika kama mwenyeji sababu nilifika lodge najua hadi majina ya wahudumu