Kuanzishwa Chuo Kikuu Butiama ni siasa

Kuanzishwa Chuo Kikuu Butiama ni siasa

Mimi na ndugu zangu wa Musoma, akiwamo mleta mada tuna tatizo moja-kusubiri Serikali. Hii habari ingekuwa ni kwa mikoa ya Kagera au Kilimanjaro, siku nyingi chuo kingekuwa kimeshaanza. Michango ingekwishatolewa. Tumebaki kulalamika tu. Serikali hii ukisubiri ikupe unachotaka, unajidanganya.

Unadhani kujenga chuo kikuu ni sawa na kujenga shule ya kata eeh?
 
Hivi kwanini wasiboreshe na kupanua SUA angalau kianzio kipo. Ukifika sua wanafunzi na wahadhiri wanalalamika elimu inayotolewa ni nadharia sana hakuna vitendo kutokana na upungufu wa miundombinu na raslimali fedha. Au ndio kutafuta sifa eti tuna vyuo vingi wakti vyote havina viwango huu mimi nauita ulimbukeni.
 
FI: Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Butiama (Sijajua hasa official name ya chuo ni ipi) kitakuwa na Campus Nne
1. Butiama ambapo ndo itakuwa ofisi kuu na itakuwa na College of Agriculture
2. Bunda Campus ambako kutakuwa na College of Education
3. Musoma Campus ambako kutakuwa na Colleg of Medicine
4. Serengeti Campus ambako kutakuwa na College of Wildlife.

Nimewamegea kidogo kinachoendelea.
Asante kwa updates. Kuna uwezekano wa kuanza mwaka huu?
 
FI: Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Butiama (Sijajua hasa official name ya chuo ni ipi) kitakuwa na Campus Nne
1. Butiama ambapo ndo itakuwa ofisi kuu na itakuwa na College of Agriculture
2. Bunda Campus ambako kutakuwa na College of Education
3. Musoma Campus ambako kutakuwa na Colleg of Medicine
4. Serengeti Campus ambako kutakuwa na College of Wildlife.

Nimewamegea kidogo kinachoendelea.

wangewekapo hata na Tarime campus
 
Tayari serikali na kampuni ya China wametia saini makubaliano ya ujenzi wa chuo hicho. Chuo kutaanza kujengwa mwaka huu ili ifikapo 2016 kianze kutoa kozi za awali. Chanzo: Habari leo 26 Machi 2015.
 
Mimi na ndugu zangu wa Musoma, akiwamo mleta mada tuna tatizo moja-kusubiri Serikali. Hii habari ingekuwa ni kwa mikoa ya Kagera au Kilimanjaro, siku nyingi chuo kingekuwa kimeshaanza. Michango ingekwishatolewa. Tumebaki kulalamika tu. Serikali hii ukisubiri ikupe unachotaka, unajidanganya.

Wenye akili wamekuelewa
 
Wametangaza kazi na watu wameitwa usaili T.As na Lecturers chuo kinaitwa Mwalimu Julius K.Nyerere University of Technology na mkuu wa chuo ni Prof.Kambarage
 
Ni kweli mkuu na mm ni miongon mwa walioitwa interview ya T.A tar 16 October.
 
FI: Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Butiama (Sijajua hasa official name ya chuo ni ipi) kitakuwa na Campus Nne
1. Butiama ambapo ndo itakuwa ofisi kuu na itakuwa na College of Agriculture
2. Bunda Campus ambako kutakuwa na College of Education
3. Musoma Campus ambako kutakuwa na Colleg of Medicine
4. Serengeti Campus ambako kutakuwa na College of Wildlife.

Nimewamegea kidogo kinachoendelea.

Mkuu naweza kufahamu specific Locations za kila College watu tuwahi viwanja?
 
Mimi na ndugu zangu wa Musoma, akiwamo mleta mada tuna tatizo moja-kusubiri Serikali. Hii habari ingekuwa ni kwa mikoa ya Kagera au Kilimanjaro, siku nyingi chuo kingekuwa kimeshaanza. Michango ingekwishatolewa. Tumebaki kulalamika tu. Serikali hii ukisubiri ikupe unachotaka, unajidanganya.

Manyerere Jackton! We ni yule mwandishi wa habari? Kama ni wewe basi unatuangusha. Tangu lini mpango wa serikali ufadhiliwe na wananchi? Naomba usipotoshe. Ujenzi wa chuo siyo kazi ya michango ya wananchi wa Mara, Hiyo ni kazi ya serikali, Basi!

Je, Uwanja wa Ndege wa Dar umejengwa kwa michango ya watu wa Dar? Chuo kikuu cha tiba, Mloganzila kimejengwa kwa michango ya watu wa Dar? Chuo kikuu cha Dodoma kimejengwa kwa michango ya Dodoma? Bandari ya Bagamoyo je? Una maana Serikali ya Kikwete imeshindwa kununua meli kubwa kuliko Victoria kwa waru wa Bukoba kwa sababu hawakuchangamkia?
Unachanganya mambio ya kitaifa na chama cha kufa na kuzikana. Usipotoshe. Serikali inafanya usanii na udanganyifu usiofaa kabisa!
 
Hivi kwanini wasiboreshe na kupanua SUA angalau kianzio kipo. Ukifika sua wanafunzi na wahadhiri wanalalamika elimu inayotolewa ni nadharia sana hakuna vitendo kutokana na upungufu wa miundombinu na raslimali fedha. Au ndio kutafuta sifa eti tuna vyuo vingi wakti vyote havina viwango huu mimi nauita ulimbukeni.

Hiyo SUA iache ife tu! Hao wanaolalama wanaonyesha juhudi gani zaidi ya bla! Bla! tu! Hebu ngoja kianzishwe kingine labda hapo tutapata watu wenye ubora.

Nchi hii ni tatizo kupata watu bora hata ngazi ya chuo kikuu. Wengi ni wale walipass maswali ya mitihani na uwezo wa kufikiri uko chini saaaana! Let them go!
 
Manyerere Jackton! We ni yule mwandishi wa habari? Kama ni wewe basi unatuangusha. Tangu lini mpango wa serikali ufadhiliwe na wananchi? Naomba usipotoshe. Ujenzi wa chuo siyo kazi ya michango ya wananchi wa Mara, Hiyo ni kazi ya serikali, Basi!

Je, Uwanja wa Ndege wa Dar umejengwa kwa michango ya watu wa Dar? Chuo kikuu cha tiba, Mloganzila kimejengwa kwa michango ya watu wa Dar? Chuo kikuu cha Dodoma kimejengwa kwa michango ya Dodoma? Bandari ya Bagamoyo je? Una maana Serikali ya Kikwete imeshindwa kununua meli kubwa kuliko Victoria kwa waru wa Bukoba kwa sababu hawakuchangamkia?
Unachanganya mambio ya kitaifa na chama cha kufa na kuzikana. Usipotoshe. Serikali inafanya usanii na udanganyifu usiofaa kabisa!

Hujakosea ndugu yangu. Mimi ni yule yule uliyemtaja. Tatizo kubwa la wana Mara ni kusubiri kila kitu kifanywe na Serikali. Ili kuondokana na dhana hiyo potofu, mwana Mara mmoja-Nimrod Mkono; keshawapa majengo makubwa, mazuri na ya kisasa kwa ajili ya kuanza na kampasi moja ya Chuo cha Mwalimu Nyerere. Kuna huduma zote, zikiwamo nyumba za walimu, umeme na maji ya kutosha. Sasa wana Mara walipaswa waanzie hapo, ikiwa ni pamoja na kuihusisha taasisi binafsi na wananchi kwa michango au kwa njia ya msaragambo, ili mambo yasonge mbele. Kweli, serikali ina wajibu wa kufanya mambo kama haya, lakini nasi wananchi tuweke nguvu kwenye masuala yanayohusu maendeleo yetu. Kumbuka, kuwapo kwa chuo hicho ni faida kubwa kabisa kwa wana Mara wenyewe walio karibu, kabla ya Watanzania wengine. Tuna wajibu wa kuhakikisha baadhi ya mambo tunayafanya. Hilo la kuanza Mkono keshalifanya, ebu tumuunge mkono hapo alipoishia ili Serikali nayo iongeze kasi. Tusiwe wepesi wa kulalama tu.
 
Pole JK kwa miaka 10 aliyokaa madarakani hajaanzisha hata chuo kikuu kimoja. Maana hata UDOM alieanza kujenga ni Ben Mkapa.

JK alikikuta njiani akamalizia???

acha kujilisha upepo na kukalilishwa maneno kama hujui historia ya Chuo cha Udom source idea ni nani kaa kimya
 
source idea ndio kitu gani? kikwete anahusika vipi na uanzishwaji wa chuo kikuu cha dodoma?
 
Back
Top Bottom