Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
njoo jukwaa letu pendwa la wakubwa hakuna ubaguzi huko yoyote anatupia tu ile kitu roho inapendaHabari za majukumu wakuu wenzangu na wadogo zangu pia.
Sababu ya kusema hivi ni kwamba nimeangalia wanajamvi kwenye huu mtandao ni wengi mno ila wanao anzisha mada ni wachache sana.
Kwanza:
Mimi kwa mawazo yangu nahisi wengi wao wakiona mtu kaanzisha mada jinsi anavopambana na watu humu itakua wanahofia kuja kukutana na dhoruba kama hizo.
Pili:
Kujiamini na kupata ujasiri wa kuweka thread yataka moyo na ujasiri, sasa pengine mtu hajiamini.
Tatu:
Mtu hapendi kuja kulumbana na watu maana pengine ukimtizama tu analia sasa anaogopa kuja kuzidisha machozi hapa.
Mengine ni masuala ya mtu binafsi anajua mwenyewe kwanini hata kama ana shida ya kutaka kujua kitu kupitia hapa hawezi kuja kuweka thread yake.
Mwisho niwapongeze wale wote ambao wakiweka thread hapa wanakutana na masahibu makubwa lakini wanavumilia vishindo.
Wabongo si unawajua.Watu wanaona ufahari kupata likes na comment nyingii wakati tumboni njaa inauma
Huyo atakua vandameTo my 5 friends. You know yourself.View attachment 808196
Huyo ni Mimi! Nimekutunzia nafasi yako ya kushoto pale.[emoji23]Huyo atakua vandame
Hili jukwaa lipo mitaa ya wali mkuu....[emoji53] [emoji53] [emoji53]njoo jukwaa letu pendwa la wakubwa hakuna ubaguzi huko yoyote anatupia tu ile kitu roho inapenda
Kweri watu wanakazi zao,huyo kwenye kuwahi siti tu,namkubari kama DAME.To my 5 friends. You know yourself.View attachment 808196
hiyo bangi unayovuta sio ya planet hii
Nimekumbuka mbali sanaTo my 5 friends. You know yourself.View attachment 808196
Hahahaha ya plutohiyo bangi unayovuta sio ya planet hii
HhaaaaTo my 5 friends. You know yourself.View attachment 808196
Kule sasa hivi nimekuwa na magroup mawili, moja linanikubali moja halinikubali.Nini kifanyike...leo fb kunasemaje btw??