Kuanzisha kituo cha redio

Kuanzisha kituo cha redio

Joined
Apr 21, 2012
Posts
59
Reaction score
19
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya step za kuanzisha na kuendesha kituo cha Redio nchini kwetu antufahamishe hasa kwa kuzingatia yafuatayo;
1. Mtaji
2. Sheria inayo guide
3.Vifaa vinavyohitajika(+cost for each)
4. Mambo yote ya kuzingatia

Naomba kuwasilisha
 
Kama kweli unataka kujuwa vitu hivi nenda kwa ruge tu atakueleza kila kitu

Au tume ya mawasiliano.
 
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya step za
kuanzisha na kuendesha kituo cha Redio nchini
kwetu antufahamishe hasa kwa kuzingatia
yafuatayo;
1. Mtaji
2. Sheria inayo guide
3.Vifaa vinavyohitajika(+cost for each)
4. Mambo yote ya kuzingatia
Naomba kuwasilisha
 
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya step za
kuanzisha na kuendesha kituo cha Redio nchini
kwetu antufahamishe hasa kwa kuzingatia
yafuatayo;
1. Mtaji
2. Sheria inayo guide
3.Vifaa vinavyohitajika(+cost for each)
4. Mambo yote ya kuzingatia
Naomba kuwasilisha
 
kuna post humu ndani search kwa jina la FM radio utapata inaelekeza kila kitu
 
Kwa kuanzia google FM radio utapata hits yatakayo kosekana rudi hapa.
 
Tembelea mamlaka ya mawasiliano - TCRA. utapata ufafanuzi wa issue zote zinazohusiana na FM radios. Kama upo mikoani tafuta ofisi zao za kanda watakusaidia.
 
kuna jamaa yangu ameanzisha mwaka juzi, mchakato unaanzia pale tcra kwa wewe kuandika barua ya maombi ya leseni ikiambatana na andiko la mradi. hiyo itabidi uwafuate wataalamu wa maandiko ukimaliZa unapeleka pale tcra pamoja na us dola mia tano (sina akika kwa sasa) utasubili ujadiliwe pia utaitwa kwenye mahojiano, kama andiko lako limepita utapewa kibari cha ujenzi cha muda nafikili ni miezi 3 utatangaza kwa majaribio kama hupo vizuri utakabiziwa leseni yako kamili, mtaji nakushauli tenga milion 20, vifaa ni pamoja na transmita, audio mixa, mic mbili, compyuta japo mbili, pia kuna kifaa kinaitwa s.t.l (link)
 
Back
Top Bottom