Kuanzisha biashara kwa mtaji wa Tsh 1,000,000

M
Ndugu zangu nahitaji ushauri wenu, nipo DAR ES SALAAM. Nahitaji kuanzisha biashara, nina mtaji kiasi cha 1,000,000. Sasa sijajua ni biashara gani ambayo nifanye, lengo kwa siku nipate faida kuanzia 30,000.
Mambo si rahisi kihivyo.
Biashara halali ya mtaji wa shilingi milioni moja, unaianzisha tu halafu kwa siku ikuingizie shilingi elfu 30 (kwa mwezi laki tisa) kwa sasa haipo hapa TZ. Narudia haipo.

Lakini zipo biashara za kuanzia na mtaji wa shilingi milioni moja halafu kwa mwezi zikaanza kukupa elfu 30. Hii ndio biashara inayokufaa kwa sasa. Nakushauri anzia hapo. Ipo siku utakuja kunishukuru.
 
Je? Ni biashara ipi naweza nikaanza nayo,kwa mwezi nipate faida ya elf 30
 
Back
Top Bottom