ngunhila ng'ombe
Senior Member
- Mar 16, 2013
- 115
- 16
Lakini ulichosema naona kama kuna kaukweli fulani vile.................Za ccm zenyewe zinapewa promo za lowasaa.
Zitto angetaja majina ya uswiss pale mwembe yanga lazima itv wangeirusha hiyo habari.
Mbona mikutano ya CCM wanaoneshaa...!!
Sasa mnataka wote muoneshwee?? Mzazi akioneshwa ni sawa na kuwakisha familia nzima.
Za ccm zenyewe zinapewa promo za lowasaa.