Kuanzia leo silali na wake za watu

Kuanzia leo silali na wake za watu

Endelea tu. Make sure ukosi KY karibu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Pole sana kwa maswahibu yalokukuta ndugu, ukafundishe wenzio mtaani namna ya kuheshimu wake za watu ....

Hopefully hujaumia sana
 
Ukianza kupata unyevunyevu kwenye boksa mkojo kuwa mzito mishipa ya mapaja kukaza utajua kula abstain from sex is big deal
 
Nimeamua kubadilika rasmi sitaki tena wake za watu ingawa ni watamu sababu kuu sitaki kua chanzo cha familia kuvunjika ni dhambi sana hasa nikiangalia watoto wanaenda kuishi tofauti na wazazi wao nimeshaivunja moja nyingine inahati hati ya kuvunjika
Naomba namba zao hata kama na wangu yumo miungoni mwao.
 
Technically lazima tu uvune ulichopanda, Mungu hadhiakiwi.
 
Nimeamua kubadilika rasmi sitaki tena wake za watu ingawa ni watamu sababu kuu sitaki kua chanzo cha familia kuvunjika ni dhambi sana hasa nikiangalia watoto wanaenda kuishi tofauti na wazazi wao nimeshaivunja moja nyingine inahati hati ya kuvunjika
Ushafunuliwa buti
 
Deni lazima ulipe lazima mkeo nayeye agongwe tena na mtu ambae unaemjua karibu hilo deni
 
Back
Top Bottom