Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,461
- 9,452
Broo huwezi pata tuzo ya hayo mambo kushindwa kudhibiti hisia zako nayo ni loose nut behaviourChanzo hua ni waume zao kitowashughulikia ipasavyo mpaka wanatung'ang'ania sie wa nje