Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,479
- 40,852
Ahsante sanaHongera
Mwisho wake sio mzuri nimeshuhudia hata Jamaa yangu mmoja anahangaika kwa waganga amloge Jamaa anayemlomba mke wakeKabla hujalala na mke WA mtu jaribu kuvaa viatu vya mme wake, Hebu waza kama we ndo unafanyiwa hivyo sio Tabia nzuri na mwisho wake unakuwaga mbaya
Confess to escape KarmaNimeamua kubadilika rasmi sitaki tena wake za watu ingawa ni watamu sababu kuu sitaki kua chanzo cha familia kuvunjika ni dhambi sana hasa nikiangalia watoto wanaenda kuishi tofauti na wazazi wao nimeshaivunja moja nyingine inahati hati ya kuvunjika
NI Noma kuna Watu wanatiwa vilema vya maisha eti kisha mke WA mtu. So sadMwisho wake sio mzuri nimeshuhudia hata Jamaa yangu mmoja anahangaika kwa waganga amloge Jamaa anayemlomba mke wake
Mafuta hayaja usika nimetafakari hatma ya watoto wadogo waliokua wanapata malezi ya baba na mama wanaenda kuteseka sababu ya tamaa ya mama yao kutaka kukojozwaHuwez kuacha ukiona hv ujue tyr umepakwa futa
Tena una bahati hujafa, mke wa mtu ni sumu. Ulibugia hizo sumu na bado upo mzima? Ila tafuta dawa ya kuondoa sumu mwilini na ukome kama mtoto anavyoacha kunyonya.Nimeamua kubadilika rasmi sitaki tena wake za watu ingawa ni watamu sababu kuu sitaki kua chanzo cha familia kuvunjika ni dhambi sana hasa nikiangalia watoto wanaenda kuishi tofauti na wazazi wao nimeshaivunja moja nyingine inahati hati ya kuvunjika
Wewe sema sababu washakukwichy sisi wote watanzania haina haja kufichana..!!
Chanzo hua ni waume zao kutowashughulikia ipasavyo mpaka wanatung'ang'ania sie wa njeKuna Ndoa moja ilikua Rehani baada ya mm kuhamia Ile nyumba.
Mbaya ziaidi walikua na mtoto mdogo wa miezi 4.
Ikanibidi nihame tu, Japo mwishowe bado ilivunjika tu.
Dah watu mnavuka sana mstari mwekundu, na uzee wangu wote sijawai hata shika nyoyo la mke wa mtu wala kugusa mwili wakeNimeamua kubadilika rasmi sitaki tena wake za watu ingawa ni watamu sababu kuu sitaki kua chanzo cha familia kuvunjika ni dhambi sana hasa nikiangalia watoto wanaenda kuishi tofauti na wazazi wao nimeshaivunja moja nyingine inahati hati ya kuvunjika
Kwanini unamtupia lawama mama ilihali unajua fika huyo ni mke wa mtu why don't you mask your emotionsMafuta hayaja usika nimetafakari hatma ya watoto wadogo waliokua wanapata malezi ya baba na mama wanaenda kuteseka sababu ya tamaa ya mama yao kutaka kukojozwa
Ndio maana nimeamua kuwakimbia kabisaSijui wanaume tunapata wapi nguvu ya kusex na mke wa mtu, mm nikishajua huyu n mke wa mtu hata mazoea ya salamu siwezi kuwa nayo kwake.
Em vaa uhusika WA Huyo mume then ndio utajua maumivu ya kujua mke ameliwa nje.