Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Ameandika hatakula samaki wa Mwanza kwa sababu ameona samaki wakielea kwenye mto Mara kwa sababu ya sumu za mgodi.Utakula wa wapi kusiko na taka tiririka za viwandani? Ukitaka kupinga tafiti fanya tafiti
Limeanza kuufyata taratibu.Sukuma gang mko wapi?
Japo siyo ila kwa niaba yao nasema...Sukuma gang mko wapi?
Tutakukumba daimaLimeanza kuufyata taratibu.
Bado Kuna wachache tunawafuatilia very very closely.
Vinyago tuvichonge wenyewe halafu vitutishe?
Wspumbafu ni wananchi au viongozi au wote kwa pamoja ni viazi tupu?Hii nchi imejaa wapumbavu sana
ππππΆπππ€¨ππHii nchi imejaa wapumbavu sana