Kuanzia asubuhi nani anaipata TBC 1 kwa FTA cband?

...
wapo hapo ila wameboresha urushaji kwa s2 na kujimilikisha tbc2 na Safari channel.
...
 
...
Ndio lnb kubwa, wapo IS906 hapohapo ila fanya blind scan ukitumia dekoda ya s2 ~ mpeg4.
...
Jana nimeblind scan sikupata chochote kama umeipta tupe frequency zake.Receiver yangu ni Full HD.
 
...
hawa ndugu zangu jana walitangaza kwenye fta tbc/startimes, mabadiliko haya wakati hawaonekeni kwenye visimbusi vingine mpaka sasa.
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…