Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,404
- Thread starter
- #61
Data za uchumi wakati wa jiwe zilibishaniwa siyo tu na WB bali na IMF kwamba hazikuwa sahihi.Unaposema unashuka bila kuweka data sijui tutakuelewa vipi tuambie wakati wa Magufuli ulikuwa% ngapi na sasa upo % ngapi?
Lakini data za uchumi hata ziwe nzuri kiasi gani hazina maana kama hali za maisha ya wananchi zinaendelea kuwa mbaya kila siku.