K kambi7 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 773 Reaction score 589 Jul 13, 2014 #1 wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa natanguliza shukrani.
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Jul 13, 2014 #2 kambi7 said: wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa natanguliza shukrani. Click to expand... Angalia kwenye menu Bar ya JF kwa juu utaona "Notification" hapo utapata sehemu kuna "Private Message" Alternatively,Bofya settings kwenye menu bar afu kushoto kwako utaona sehemu ya INBOX N:B Hautakuta PM kama haujawai tumia kwa nsaada zaidi na kukupima kama umeelewa angalia PM nilokutumia afu nijibu
kambi7 said: wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa natanguliza shukrani. Click to expand... Angalia kwenye menu Bar ya JF kwa juu utaona "Notification" hapo utapata sehemu kuna "Private Message" Alternatively,Bofya settings kwenye menu bar afu kushoto kwako utaona sehemu ya INBOX N:B Hautakuta PM kama haujawai tumia kwa nsaada zaidi na kukupima kama umeelewa angalia PM nilokutumia afu nijibu
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,796 Reaction score 22,768 Jul 13, 2014 #3 kambi7 said: wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa natanguliza shukrani. Click to expand... >Je unatumia kifaa kipi kuingia JF? >Je ni tatizo lipi hasa unakumbana nalo? >Majanga kivipi? Weka maelezo ya kujitosheleza kwa tatizo upatalo, ili upate msaada stahili ! KARIBU
kambi7 said: wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa natanguliza shukrani. Click to expand... >Je unatumia kifaa kipi kuingia JF? >Je ni tatizo lipi hasa unakumbana nalo? >Majanga kivipi? Weka maelezo ya kujitosheleza kwa tatizo upatalo, ili upate msaada stahili ! KARIBU
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Jul 13, 2014 #4 kambi7 said: wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa natanguliza shukrani. Click to expand... kwa kua umenijibu PM basi umenielewa japo nime-assume unatumia computer na bila shaka ndo unatumia ndo maana ukaelewa
kambi7 said: wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa natanguliza shukrani. Click to expand... kwa kua umenijibu PM basi umenielewa japo nime-assume unatumia computer na bila shaka ndo unatumia ndo maana ukaelewa