TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
UDOM hawatumii ARIS wanatumia SRHabar zenu wakuu. Nina shida yakuona matokeo ya UDOM ya mwaka 2011 online kupitia ARIS. Lakini nikilog on baada yakuweka Username na password naona chenga tofauti na miaka flan yanyuma hiko.
Kama kuna mwenye kufahamu humu juu ya tatizo hilo anisaidie. Au utaratibu ushabadirika?
Msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante. Kwaiyo kwenye hiyo SR naweza nikapata matokeo just through username na password yangu ileile yakipindi kile? i.e 2011
Huwa inafungwa mkuu maana ile inakuwa updated Kila mwaka wa masomo unapoanza hasa kwa UDOM ukifanya usajili semester moja tu inakuwa mwaka mzima then inakuwa inactive... Asa tangu 2011 kweli mpk leo system haikumbuk kabisa Kama Kuna Jina lako na T/UDOM/2000.....
Duh! Asante mkuu. Nimeweka T/UDOM/2008......…. naona kimya. Ko ukitaka kuchek online hakuna namna. Si ndio?Huwa inafungwa mkuu maana ile inakuwa updated Kila mwaka wa masomo unapoanza hasa kwa UDOM ukifanya usajili semester moja tu inakuwa mwaka mzima then inakuwa inactive... Asa tangu 2011 kweli mpk leo system haikumbuk kabisa Kama Kuna Jina lako na T/UDOM/2000.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimehitimu 2016 na juzi tu nimetoka kuingia UDOM-SR imekubali. Unaweza kuona matokeo yako pamoja na courseworks ila kuna baadhi ya sehemu unakuwa huna uwezo wa kuingia. Sasa sijui labda ndugu yetu amehitimu muda mrefu.Kama ulikuwa unasoma wakati mnatumia ARIS basi sasa wako SR, pili ukisha graduate basi akaunti inafungwa na hauwezi ku access tena ndio maana unapewa transcript
Sidhani ndugu kwangu imekubali labda kama umehitimu muda mrefu.Huwa inafungwa mkuu maana ile inakuwa updated Kila mwaka wa masomo unapoanza hasa kwa UDOM ukifanya usajili semester moja tu inakuwa mwaka mzima then inakuwa inactive... Asa tangu 2011 kweli mpk leo system haikumbuk kabisa Kama Kuna Jina lako na T/UDOM/2000.....
Sent using Jamii Forums mobile app
OkaySidhani ndugu kwangu imekubali labda kama umehitimu muda mrefu.