Kuangalia Bunge DILI siku izi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuangalia Bunge DILI siku izi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ulukolokwitanga, Apr 23, 2012.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Jamaa wanatoza kiingilio Shs 500 na watu wamejaa kibao kwenye kaukumbi kao. Stori ni Sugu, Sugu, Sugu
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Vurugu zinataka kutokea eti kaLuninga hakana sauti ya kutosha huku Wenje ameanza kuongea
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ooh...oooh!!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  aisee nimeganda kwenye tv sasa hivi Wenje anaongea kwa uchungu
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wapi huko?
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kwa wanaNZENGO huku...

  Wananiuliza Khamrani ndio nani?
   
 7. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  mkuu mi nipo tunduma mjadala ni sugu sugu sugu kila kona sugu kamwaga pointi.
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Watu wanatoka nje kupata hewa wakati huu Msolla anaongea, sijui kawaboa ila kila anayetoka anasema ASIKAE mtu mahala pangu
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  hahhaha ....
   
 10. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nawashauri jamaa zangu wabunge wa ccm haya mambo ya kisera wanayoongelea na kilimo kwanza hayana mashiko kabisa huku SITE, kila mwananzengo hapa anasubiri kusikia nani anajiuzulu
   
 11. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  na huyu dada kutoka manyara wamemsikia?
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  siku si nyingi utasikia kipindi hiki cha bunge kinaletwa kwenu kwa hisani ya watu wa marekani!
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  waache tu
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wapi huko ? Makete ? Misigiri ? Mpitimbi ?
  Namtumbo ?
  Yaeda Chini ?
  Dareda ?
  Masakta ?
  Kamachumu ?
  Kishapu ?
  Masange?
  Mneniya ?
  Kwamtoro ?
  Bashnet ?
  Galabo ?
  Tubugwe ?
  Msalala ?
  Kibaigwa?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mh Mizengo Pinda Kayanza Pinda leo umejiaibisha sana mbele ya watanzania, hasa wa Kima cha Chini. Watu wametoa 500 zao zingetosha sukari robo ili waangalie LIVE mawaziri wanavyojiuzulu wewe umewatoa kapa. Sidhani kama wakulima hawa wataipenda tena CCM
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  No nilizaa na binti wa Thomas Kashilila, so mjengoni ni ukweni kwangu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...