Uchaguzi 2020 Kuamini kwamba Lissu alisafiri angani kutumia helikopta bila kibali cha TCAA ni kujidanganya sana!

Mkuu "mtende" The Palm Tree ,kongole sana.
Umeandika na kumaliza kila kitu. Asiyeelewa haya,huyo hakufaa kuitwa binadamu.
 
Tulieni dawa iwaingie vizuri tena taratibu ni kesho tu wala sio mbali rais ni Tundu Antipaers Lissu Tanzania inaenda kuandika history nyingine duniani na kuondosha utawala huu wa kifisadi na kizandiki wa sisiem mmetawala nchi kwa zaidi ya miaka 55 na hamna mlilofanya la maana leo bado mnatudanganya tu tu nasema watz hatudanganyiki tena jiandaeni na nyie kuitwa wapinzani tuone kama mtafurahi wahuni wakutupwa nyie mnatufanya tuna kuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe!!! Ebo!!!
 
Kwahiyo ukweli wako ni kwamba ameruka kwa ungo wa mama yako au wewe ndio ulimpa kibali cha kuruka? Kwanini mumkwamishe mtu kufanya shughuli zake.
Umemaliza kutukana wazazi wangu?
Kama bado ongeza matusi mazito sababu wewe hauna mama au baba ninaye weza kuwatukana pia.
 
Genge la wahuni wa saccos. Wazee wa faru John, wazee wa kuzungusha mikono na miguu. Chama ndio kimejifia hivyo. Poleni mno, kesho kura zote kwa JPM.
Mnamuogopa sana huyo mtu asee, hadi mmezima mitandao. Afu mnakaa kujisifia ujinga.
 
Kesho hasubuhi nitanchaguwa Tundu Lissu.
Hebu twambie ukweli upoje?
Kama, alipigwa risasi 16, kumzuia kuruka ni kitu gani?.

Kwamba huamini kuwa anaweza kuzuiwa kuruka??. ..ni kwamba tayari kule kusini walimzuia kwa figisu kama hizi.

Nihitimishe kwa kusema hao wenye mamlaka wanaohimiza sheria ziheshimiwe, wao hawaziheshimu hata kidogo!.
 
Wapiga kura wa Tanzania kesho wamalizia kabisa suala la uchaguzi kwa kishindo kikubwa.

Tundu Lissu amejitahidi sana kuchangamsha uchaguzi wa mwaka huu.

CCM itashinda kwa kishindo kikubwa.

Chadema wanafahamu hilo.

Magufuli hana sifa ya kushinda Kwa box la kura, sana sana hutumia madaraka yake kushurutisha kutangazwa mshindi.
 
Kichekesho ni pale wanaofikiria Tundu Lissu anaweza kuwa Rais wa JMT .AISEE
 
Mwambieni huyo mwenda- wazimu wenu kaichafua sana nchi hii kwa wazimu wake. Hana uhalali tena wa kuendelea kuwa kiongozi wetu!
Hafai
 
Umemaliza kutukana wazazi wangu?
Kama bado ongeza matusi mazito sababu wewe hauna mama au baba ninaye weza kuwatukana pia.
Hivi Mama ni "Wazazi" wako au "Mzazi" wako?? Halafu tofautisha kumtukana na kumtaja. Manake unaandika andika tu hujui hata unaandika nini?
 

Hawa watu wa chadema ni hatari Sana kwa amani ya Nchi yetu .
Nashukuru Sana ambavyo network ya mitandao ya kurusha mapicha ya taharuki haupatikanj maana walijipanga kuuhadaa umma wa watanzania na kuleta taharuki.
Najua huyo Lisu hakukatazwa na rubani hawezi kukiuka taratibu za magu izo ya anga . Taratibu tunazijua Sana.
Alikua anatafuta Kiki ambayo amri kosa.
Mungu awalaani wakose kura kabisa.
Hawana hofu ya Mungu kabisa.
Tunapenda amani sisi.
CCM oyeee.
 
Kwa nini mitandao ya Twitter,FB,Whats8 na Instagram haifanyi kazi?
Wapiga kura wa Tanzania kesho wamalizia kabisa suala la uchaguzi kwa kishindo kikubwa.

Tundu Lissu amejitahidi sana kuchangamsha uchaguzi wa mwaka huu.

CCM itashinda kwa kishindo kikubwa.

Chadema wanafahamu hilo.
 
Mbona hukuandika hayo kabla?!

Au umeandika kwa kuongozwa na that piece of printed masturbation iliyokuwa released na TCAA?!
 
Mamlaka ya anga imezingua sana kuweka sharia za kipumbavu, unatoaje Kigali cha hovyo kutua na kuruka kwa chopa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…