Uchaguzi 2020 Kuamini kwamba Lissu alisafiri angani kutumia helikopta bila kibali cha TCAA ni kujidanganya sana!

1. Mengine yote hayo hayana maana wala unuhimu kwa sasa..

2. Mimi sijakuelewa nini ulichoona cha ajabu. Je, huamini kuwa TCAA wanaweza kufanya uhuni dhidi ya Tundu Lissu kwa maagizo ya watawala?

3. Kama huamini, basi wewe una tatizo na hujui nini kinendelea sasa katika hii iitwayo "Tanzania ya Magufuli..!"

4. Kama watu wanathubutu kuzims huduma ya Internet nchi nzima na kumuumiza kila mtu, watashindwaje kufanya ujinga huu?

5. Wewe si unafahamu na kuelewa kabisa kuwa, uhuni kama huu ulifanyika na TCAA hawahawa kwa Tundu Lissu huyu huyu na Chopa hii hii Mtwara tena rubani akiwa juu angani??

6. Wewe si unaelewa kabisa kuwa uhuni kama huu huu ulifanyika DSM mwanzoni kabisa na kutibua ratiba nzima ya kampeni za Lissu?

7. Nani hajui kuwa uhuni kama huu ulifanyika Bunda kwa mamlaka za serikali kutumia strategy hii hii ya kijinga kumzuia mtu huyu kutumia kivuko cha Bunda kuingia Ukerewe ili afanye mikutano ya kampeni? Unadhani ni coincidence? Hapana, siyo. Ni mpango maalumu wa makasudi..!!

8. Vivyo hivyo leo pale KIA. TCAA wametumika tu. Lengo ilikuwa ashindwe kufika DSM kwa wakati ama ashindwe kabisa kufika ili kuhutubia maelfu ya watu waliokuwa wanamsubiri wahitimishe naye kampeni..

LAKINI;

Hakuna jaribu lolote linaloweza kumpata mtu yeyote mwenye haki wa Mungu - Yehova ambalo halina mlango wa kutokea..

Thank God, kila hujuma iliyofanyika haikumzuia Tundu Lissu kufika alikokusudia kufika..

Narudia tena kusema, hayo mengine hayana maana. Kwa sababu, kama mlango umefungwa na wewe unataka kufika nje lakini huwezi, lakini kuna ukuta wa kurukika na ukatoka nje, bora ufanye hivyo..

Tundu Lissu kafanya vile. Hayo mengine ni yako, kaa nayo wewe yanaweza (labda) kukusaidia baadae..
Mkuu "mtende" The Palm Tree ,kongole sana.
Umeandika na kumaliza kila kitu. Asiyeelewa haya,huyo hakufaa kuitwa binadamu.
 
Tulieni dawa iwaingie vizuri tena taratibu ni kesho tu wala sio mbali rais ni Tundu Antipaers Lissu Tanzania inaenda kuandika history nyingine duniani na kuondosha utawala huu wa kifisadi na kizandiki wa sisiem mmetawala nchi kwa zaidi ya miaka 55 na hamna mlilofanya la maana leo bado mnatudanganya tu tu nasema watz hatudanganyiki tena jiandaeni na nyie kuitwa wapinzani tuone kama mtafurahi wahuni wakutupwa nyie mnatufanya tuna kuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe!!! Ebo!!!
 
Kwahiyo ukweli wako ni kwamba ameruka kwa ungo wa mama yako au wewe ndio ulimpa kibali cha kuruka? Kwanini mumkwamishe mtu kufanya shughuli zake.
Umemaliza kutukana wazazi wangu?
Kama bado ongeza matusi mazito sababu wewe hauna mama au baba ninaye weza kuwatukana pia.
 
Genge la wahuni wa saccos. Wazee wa faru John, wazee wa kuzungusha mikono na miguu. Chama ndio kimejifia hivyo. Poleni mno, kesho kura zote kwa JPM.
Mnamuogopa sana huyo mtu asee, hadi mmezima mitandao. Afu mnakaa kujisifia ujinga.
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
Kesho hasubuhi nitanchaguwa Tundu Lissu.
Hebu twambie ukweli upoje?
Kama, alipigwa risasi 16, kumzuia kuruka ni kitu gani?.

Kwamba huamini kuwa anaweza kuzuiwa kuruka??. ..ni kwamba tayari kule kusini walimzuia kwa figisu kama hizi.

Nihitimishe kwa kusema hao wenye mamlaka wanaohimiza sheria ziheshimiwe, wao hawaziheshimu hata kidogo!.
 
1603846748101.png
 
Wapiga kura wa Tanzania kesho wamalizia kabisa suala la uchaguzi kwa kishindo kikubwa.

Tundu Lissu amejitahidi sana kuchangamsha uchaguzi wa mwaka huu.

CCM itashinda kwa kishindo kikubwa.

Chadema wanafahamu hilo.

Magufuli hana sifa ya kushinda Kwa box la kura, sana sana hutumia madaraka yake kushurutisha kutangazwa mshindi.
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
Mwambieni huyo mwenda- wazimu wenu kaichafua sana nchi hii kwa wazimu wake. Hana uhalali tena wa kuendelea kuwa kiongozi wetu!
Hafai
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu

Hawa watu wa chadema ni hatari Sana kwa amani ya Nchi yetu .
Nashukuru Sana ambavyo network ya mitandao ya kurusha mapicha ya taharuki haupatikanj maana walijipanga kuuhadaa umma wa watanzania na kuleta taharuki.
Najua huyo Lisu hakukatazwa na rubani hawezi kukiuka taratibu za magu izo ya anga . Taratibu tunazijua Sana.
Alikua anatafuta Kiki ambayo amri kosa.
Mungu awalaani wakose kura kabisa.
Hawana hofu ya Mungu kabisa.
Tunapenda amani sisi.
CCM oyeee.
 
Kwa nini mitandao ya Twitter,FB,Whats8 na Instagram haifanyi kazi?
Wapiga kura wa Tanzania kesho wamalizia kabisa suala la uchaguzi kwa kishindo kikubwa.

Tundu Lissu amejitahidi sana kuchangamsha uchaguzi wa mwaka huu.

CCM itashinda kwa kishindo kikubwa.

Chadema wanafahamu hilo.
 
Mbona hukuandika hayo kabla?!

Au umeandika kwa kuongozwa na that piece of printed masturbation iliyokuwa released na TCAA?!
 
Back
Top Bottom