dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,475
- 2,078
Wanadamu tunajifariji sana kwenye mahusiano. Umefahamiana nae akiwa mkubwa tu mkapendana, mkaaminiana basi unabwaga manyanga na kuona kuwa ni muaminifu na hawezi kukusaliti.
Labda kama upo kwenye uhusiano na malaika pekee. Vinginevyo unajidanganya;
TAFAKARI
Labda kama upo kwenye uhusiano na malaika pekee. Vinginevyo unajidanganya;
TAFAKARI