Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 919
- 1,101
Sijawahi kuajiriwaJamaa mbona unahangaika Sana?
We si umejiajiri sasa kwann unahangaika Sana na waliojirowa? We endelea na hizo buku zako unazopata kwa kujiajiri achana na wanaoingiza 5m kwa kumtumikia mtu mwingine...
Sasa kwanini unalalamikia kitu usichokijua?sijawi kuajiriwa
Mkiambiwa ukweli wabongo manakaza mafuvu. Ukweli ndo huo tuache roho mbaya kuna watu wanajifuta kitu kupitia hoja hizi we ambaye unaziona zinaufinyu wa maarifaJamaa mbona unahangaika Sana?
We si umejiajiri sasa kwann unahangaika Sana na waliojirowa? We endelea na hizo buku zako unazopata kwa kujiajiri achana na wanaoingiza 5m kwa kumtumikia mtu mwingine...
Akili yenyewe si mpaka uwe nayo sasa?Kuna kijana kaniuliza kwani we uliyejiajiri unaingiza zaidi ya 5M au upo chini ya hapo.
Na mjibu kama ifuatavyo....
Sasa kwanini unalalamikia kitu usichokijua?
Unawezaje ku compare vitu 2 wakati kitu kingine hujawahi fanya na wala hukijui?
Sio kila msanii anachokiimba kimemkuta acha kukaza fuvuSasa kwanini unalalamikia kitu usichokijua?
Unawezaje ku compare vitu 2 wakati kitu kingine hujawahi fanya na wala hukijui?
Yaani mtu ajifunze kupenda kupata buku kwa kujitafutia kuliko kupata 5m kwa kuajiriwa?Mkiambiwa ukweli wabongo manakaza mafuvu. Ukweli ndo huo tuache roho mbaya kuna watu wanajifuta kitu kupitia hoja hizi we ambaye unaziona zinaufinyu wa maarifa
Nadhani we utumwa ninao uzungumzia ujauelewa. Mfano mdogo unaishi kwa ndugu unalala kwa godoro, unakula chakula chake lakini masimango kibao si bora ulale chini lakini kwa amani.Hata sioni ni kwa nini unatumia nguvu nyingi hivi kujadili kitu ambacho wala sioni kama kina mantiki yo yote. Watu wengi wameajiriwa na pia wana vibiashara vyao na maisha yanasonga...
We utakuwa mlokole,unaejipa moyo,Kuna kijana kaniuliza kwani we uliyejiajiri unaingiza zaidi ya 5M au upo chini ya hapo.
Na mjibu kama ifuatavyo...
Endelea kuajiriwa kijana ujakatazwa na sio kila aliyejiajiri anauza mahindi. Serikali yenyewe inakupa mshahara kwa sababu ya sisi walipa kodiWe utakuwa mlokole,unaejipa moyo,
"Mambo yote ni upotovu na kujilisha upepo"pale unapoona wenzio wapo kwenye ndinga Kali,vogue,land cruiser,bmw,na kwenye majumba ya kifahari...
Sisi tuliojiajiri ndio wenye uwezo wa kununua hizo ndinga cash.We utakuwa mlokole,unaejipa moyo,
"Mambo yote ni upotovu na kujilisha upepo"pale unapoona wenzio wapo kwenye ndinga Kali,vogue,land cruiser,bmw,na kwenye majumba ya kifahari.
Watu wasio nacho,huwa wajinga sana,wakiwa kwenye daladala wamesimama,jasho,joto,wakiona mtu yupo kwenye ndinga yake full kiyoyozi,wao huwaza,aaah tulikuja watupu tutaludi watupu,
Yaani kuuza mahindi ukapata buku yako kwa siku,ni Bora kuliko kuajiliwa ukalipwa laki kwa siku?kisa eti ajira ni utumwa?akili za hovyo sana hz
🤣wakiwa kwenye daladala wamesimama,jasho,joto,wakiona mtu yupo kwenye ndinga yake full kiyoyozi,wao huwaza,aaah tulikuja watupu tutaludi watupu
Kafukuzwa huyublaza umeandika uzi mbili zote una diss kuajiriwa, vipi umefukuzwa kazi au ume resign kwa sababu zako?