mkuu kwa hio auto inakufa gia box mara moja kushinda manual?
Mbona wewe unatumia Peugeot 504 ya kifaransa...Subaru sio gari go for Germany car like BMW and Mercedes they are veri comfortable, speed usiseme na ulaji mzuri wa mafuta.
Subaru zimemaliza vijana wengi sana hapa Arusha. Hizi gari zinataka mtu aliyetuliza akili, lakini kama ndo gari ya kwanza kuimiliki ni hatari maana uta' tend kupenda kukimbia ili uonekane unaimudu, hapo ndo itakufinya.
Kuna jamaangu juzi alitoka kuinunua showroom Dar, alipofika Usa-River akatupigia washikaji zake kuwa atukute eneo fulani la matumizi, tukakusanyika tumsubiri, HAMAD akiwa kabakiza km 6 kuingia town alianza kuona watu wanaomjua, akaendelea kukanyagia, ghafla mzee ngoma ikamzidi ujanja, iliviringika mara 5 na kumvunjavunja mbavu zote mshikaji, tukapigiwa simu tukabebe mwili na vipande vipande vya mabati ya gari.
Ikawa ndo mwisho wa mshikaji na subaru yake mpya.
Tukakosa kupiga bata siku hiyo, bili ambayo ilikuwa a'settle yeye ikabidi tulipe chap' lakini mbaya zaidi tukamkosa best yetu.
Chezea kabisa Subaru.
Mimi nilianza kujipanga kuagiza subaru imprezza, vp yenyewe inaunafuu, au ni vilevile kama foresterkaka kama ni gari ya kwanza achana nayo kama ishu ni 4wheel nunua rav4 hiyo gari ni ya mashindano na wazoefu wenye magari mengi,kwanza mafuta pili spare cylinder head yake inauzwa milioni moja sawa na engine nzima ya gx100,mafundi ndio hao wanahesabika ,pata picha inakufia singida on the way to mwanza utalivuta mpaka dar
Habari wanajamii .....nnampango wa kuvuta forester naomba msaada nitumie kampuni gani kuagiza toka japan ambayo iko cheap na haina usumbufu au ujanjaujanja.Pia hizi gari hazna matatizo??? Nsaidien
Habari wanajamii .....nnampango wa kuvuta forester naomba msaada nitumie kampuni gani kuagiza toka japan ambayo iko cheap na haina usumbufu au ujanjaujanja.Pia hizi gari hazna matatizo??? Nsaidien
Nunua subaru forester aka 'confidence in motion''
hii ndio gari yangu ya kwanza ,,so far haijawahi nisumbua.vuta kitu cha 2004 ,km kama 60000 hivi utaipenda.andaa dola 4500 kuingiza dar halafu kama milioni 6 hivi kuiweka barabarani.
Gari iliyonisumbua njiani ilikuwa prado..nahisi dereva wake alikuwa kichaa flani hivi kwa sababu nilitembea kwa 160 sikumkuta.
Nunua subaru...uenjoy safari!
Kama Prado ilikupita basi wewe ni mwoga.Mimi nina Prado na Subaru.Nikitaka kuweka heshima kwenye safari ndefu huwa natumia Subaru.Huwa natembelea 180 km /hr karibu nusu ya safari.
Gari zilizowahi nisumbua ni Kilimo Kwanza na Mercedes Benz.
Namuomba Mungu anibariki nivute Mercedes Benz. Hapo ntakuwa natembea 240km/hr.
Kilimo kwanza nitawakomesha
Habari wanajamii .....nnampango wa kuvuta forester naomba msaada nitumie kampuni gani kuagiza toka japan ambayo iko cheap na haina usumbufu au ujanjaujanja.Pia hizi gari hazna matatizo??? Nsaidien
Wakuu mi nadhan fuel consumption inaadhiriwa na driving habit, ninavojua gari yoyote ukiexeed 100km kwa saa lazima inywe haya kama ni vits!duh 1 lt kwa 7 km!!!! bac hatari hara gx110 haiingii ndani