Kuagiza subaru forester

Kuagiza subaru forester

elmasry

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
381
Reaction score
154
Habari wanajamii .....nnampango wa kuvuta forester naomba msaada nitumie kampuni gani kuagiza toka japan ambayo iko cheap na haina usumbufu au ujanjaujanja.Pia hizi gari hazna matatizo??? Nsaidien
 
upo mkoa gani? ni pm nikuunganishe na mtu anayeweza kukupa ushauri na kukuassist katika ununuzi wa kuagiza gari nje lenye ubora na unafuu wa bei muelewane
 
Mie ninayo ya kwangu imeshapakiwa kwenye meli naiuza kwani nitakuwa siko nchini kwa muda ni-pm
 
lita 1 kwa km ngapi? yako ya mwaka gani
 
lita 1 kwa km ngapi? yako ya mwaka gani

nicheki kwenye atyini@yahoo.com nikirudi home niangalie details sasa hivi anayo mke wangu.ila ni forester,sb/5 manual transmission,turbo,AWD full time.ukiwasha AC lita 1 km 7 hivi,ukizima AC kama km 8 hadi 9.kwa mbio tu ni gari chache za kukimbizana nayo.
 
duh 1 lt kwa 7 km!!!! bac hatari hara gx110 haiingii ndani
 
vipi uimara wa hizi gari? spare etc
 
Habari wanajamii .....nnampango wa kuvuta forester naomba msaada nitumie kampuni gani kuagiza toka japan ambayo iko cheap na haina usumbufu au ujanjaujanja.Pia hizi gari hazna matatizo??? Nsaidien

Kama ndo gari yako ya kwanza nakushauri utafute aina nyingine sababu kubwa ni kwamba wataalam wake ni wachache sana (Dar es Salaam) Arusha wapo, then kuna baadhi nadhani zile za kuanzia 2003/2004 hvi zinazingua sana gia box.Kuna kijana mmoja ndo mtaalam kidogo wa hzo gari, garage yake ipo mwenge pale.
Kwa ushauri zaidi tuwasiliane
 
ndio mkoko wangu wa kwanza nimeona nichukue subaru than toyota
 
Yangu imekaa garage kwa mda haijatoka ikiwa na matatizo ya gia box,niliagiza vifaa adi nairobi lakini bdo hata juzi nimepita garage kwa huyo fundi nimeona ingine hata haijatembea mwenzi bongo lakin gia box ilishaanza kusumbua so kama unaitamani sana Forester basi chukua manual hzo ni bora kuliko Auto.
 
Unataka mpya au 2nd hand?

mkuu kwa hio auto inakufa gia box mara moja kushinda manual?
 
Subaru zimemaliza vijana wengi sana hapa Arusha. Hizi gari zinataka mtu aliyetuliza akili, lakini kama ndo gari ya kwanza kuimiliki ni hatari maana uta' tend kupenda kukimbia ili uonekane unaimudu, hapo ndo itakufinya.

Kuna jamaangu juzi alitoka kuinunua showroom Dar, alipofika Usa-River akatupigia washikaji zake kuwa atukute eneo fulani la matumizi, tukakusanyika tumsubiri, HAMAD akiwa kabakiza km 6 kuingia town alianza kuona watu wanaomjua, akaendelea kukanyagia, ghafla mzee ngoma ikamzidi ujanja, iliviringika mara 5 na kumvunjavunja mbavu zote mshikaji, tukapigiwa simu tukabebe mwili na vipande vipande vya mabati ya gari.

Ikawa ndo mwisho wa mshikaji na subaru yake mpya.

Tukakosa kupiga bata siku hiyo, bili ambayo ilikuwa a'settle yeye ikabidi tulipe chap' lakini mbaya zaidi tukamkosa best yetu.

Chezea kabisa Subaru.
 
nataka kuitumia kwa masafa marefu ie dar 2 mwanza dar 2 tanga maana naskia znakimbia !!
 
Unataka mpya au 2nd hand?

Subaru zimemaliza vijana wengi sana hapa Arusha. Hizi gari zinataka mtu aliyetuliza akili, lakini kama ndo gari ya kwanza kuimiliki ni hatari maana uta' tend kupenda kukimbia ili uonekane unaimudu, hapo ndo itakufinya.

Kuna jamaangu juzi alitoka kuinunua showroom Dar, alipofika Usa-River akatupigia washikaji zake kuwa atukute eneo fulani la matumizi, tukakusanyika tumsubiri, HAMAD akiwa kabakiza km 6 kuingia town alianza kuona watu wanaomjua, akaendelea kukanyagia, ghafla mzee ngoma ikamzidi ujanja, iliviringika mara 5 na kumvunjavunja mbavu zote mshikaji, tukapigiwa simu tukabebe mwili na vipande vipande vya mabati ya gari.

Ikawa ndo mwisho wa mshikaji na subaru yake mpya.

Tukakosa kupiga bata siku hiyo, bili ambayo ilikuwa a'settle yeye ikabidi tulipe chap' lakini mbaya zaidi tukamkosa best yetu.

Chezea kabisa Subaru.
pole mkuu
 
Back
Top Bottom