ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Gharama zao kwa simu moja ni kiasi gan?!Ni kweli Mkuu..nimeshanunua Simu mara mbili kutoka Avechi na zote zilifika,moja ilikuwa Xiaomi redmi note 3 pro na nyingine Homtom sjui.Zilifika zote na nililipa nilipoenda kuchukua.
Na inachukua mda gan mpaka bidhaa kukufikia?