mtafiti05 JF-Expert Member Oct 17, 2016 956 593 Jan 3, 2017 #1 Hatimaye kuadimika kwa hela kumeleta kuturudisha kwenye batter exchange! Sasa hivi mbuzi 1 debe la mahindi, tunakoelekea ni kule tulikotoka. Hongera awamu ya 5.
Hatimaye kuadimika kwa hela kumeleta kuturudisha kwenye batter exchange! Sasa hivi mbuzi 1 debe la mahindi, tunakoelekea ni kule tulikotoka. Hongera awamu ya 5.