Kuadimika kwa gazeti la Mwananchi mtaani

Kuadimika kwa gazeti la Mwananchi mtaani

Wadau Salaam,
Leo tarehe 10.04.2018, nimezunguka mitaa mingi kuanzia Mwenge, Sinza,Ubungo na maeneo ya Tegeta nimelisaka gazeti hili pendwa na kulikosa,baada ya kulikosa nikadadisi Barabara ya Shekilango Kutoka Bamaga hadi Kwa Remmy nikaambiwa kuwa kuna vijana wamepita na kuyanunua magazeti yote. wadau kuna habari gani ya kulifanya lichukuliwe kwa jumla. Naomba nijuzwe
Wasalamu
TB.
Nenda pale mandela road kawaulize walitoa nakala ngapi kwani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom