Yaliyomo yamo tunajifunza kutokana na makosa, yakishatokea yametokea kurudi nyuma haiwezekani ni kuendelea mbele tu kwa kuzingatia ulipojikwaa awali na kuangukia wapi ili yasitokee tena
Kinini tenaakimenuka
mapenzi haya ndugu yanguKinini tenaa
[emoji2] [emoji2] mapenzi ulayaaamapenzi haya ndugu yangu
bongo biashara [emoji15][emoji2] [emoji2] mapenzi ulayaaa
da pole
mm nilifiwa na baba last year ila nilisahau mapema bt nimeachwa na kpnz changu tangu mwez wa 12 ila mpaka sasa cjasahau roho inauma kwel ata jana kdogo nimtumie msg nkamuomba mungu mawazo yake yafutike kichwan kwngu nampenda xna
Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.. Kila anayeingia maishani mwako ana Syllabus mkononi mwake, Every topic anayokufundisha ichukulie serious huwezi jua mtihani wako utatungwa kwenye Topic ipi.. Usipojifunza lolote kutoka kwenye Relationships ulizopitia utaendelea kufeli daima.
Umejiuliza na ukajijibu, maajabu sana. Sijui ulitaka kusema nini au ulijisemea tu mradi ume comment.Hivi bado watu wanaachwa? Yaan mpaka akuache unakuwa umesubiri nn? Mna moyo! Jifunzeni kuacha kabla hujaachwa alikuhuliza vip? Jibu mbona mm nilishatoka mda! Vip wewe bado upo? Hapa lazima heshima ishike mkondo wake