Kuachwa kunauma jamani

Shukuru kakuambia ukweli kuliko angeendelea kukudanganya.Kinachotakiwa piga moyo konde maisha yaendelee ipo siku utampata wako uliopangiwa kuwa nae hayo ni mapito tu japo ni ngumu ili jikaze my dia
 
Kesho anaweza kuja hapa kutoa ushahidi kwamba wamerudiana. Uwe makini unapotoa ushauri. Ndio maana mie huwa nasema: HAYATUHUSU. Simple as that!!
 
Kesho anaweza kuja hapa kutoa ushahidi kwamba wamerudiana. Uwe makini unapotoa ushauri. Ndio maana mie huwa nasema: HAYATUHUSU. Simple as that!!

Wakirudiana ni vyema pia tutampongeza, sisi ni Washauri tu ni juu yake kusuka au kunyoa,ila na wewe best una majibu makali sometime duh!!......
 
Shukuru kakuambia ukweli kuliko angeendelea kukudanganya.Kinachotakiwa piga moyo konde maisha yaendelee ipo siku utampata wako uliopangiwa kuwa nae hayo ni mapito tu japo ni ngumu ili jikaze my dia
Aasante
 
nilikuwa najitahidi kuficha ila siku zinavyozuidi kwenda naona unalipuka na unakuja kwa kasi kwa namna navyo yaona maovu yenu yanaongezeka

Mi nawashangaa hata wakibadilisha wanawake ni wale wale
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…