Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF
kubali 2kuachwa japo kunaitaji moyo coz ashakutamkia hana malengo na ww sepa mapema utampata ambaye atakuwa na malengo nawe daa? pole sana ndo mapenz yalivyo.