Kuachwa kunauma jamani

Usipate shida nicheki whatsapp nikuliwaze namba yangu ni +255 112
 
achana nao hawa viumbe ni balaaaa

miss chaga bwana!!! hakuna lisilozungumzika, cha msingi huyo dada akae na jamaa amuulize why yule na si yeye ili ikitokea anaingia kwa mahusiano mengine asiteleze tena! hakuna mtu anayemuacha mwenzie bila sababu! mwisho nawashauri mabinti msiwe wepesi kwa wanaume kwani unapokuwa na misimamo yako huwa ina build value kwa mwanaume
 
kuachwa nijambo la kawaida, we siwakwanza kuachwa na wala hutakuwa wa mwisho!!so huna haja yakujipa stress zisizo na sababu. Mtu hata mahari haijatoewa unaanza kujidai umeumia?nyie mlikuwa sex mates tu, jipange uanze upya. utapata tu wakuweka naye malengo, and this time nivema mkadefine malengo ya uhusiano wenu mapema kuliko kusubiria last minutes. Narudia tena, kuachwa au kuacha ni jambo la kawaida, fungasha virago ukaanze maisha kwengine!! kumbuka.......PAIN IS INEVITABLE BUT SUFFERING IS OPTIONAL!!
 
Kubali matokeo ameshakuambia ana mwenzie, nafahamu inauma ila bora huyo amekuambia ukweli kuliko angekuletea visa
 

sawa mkuuu
 

Amwambie hampendi wakati kiukweli anampenda,huoni atakuwa anajidanganya?
 
Duuh pole! inauma sana move on ukiwa karibu na Mungu wako
 
Ndio hapo w/wake wanapokosea na kukariri kuwa kwenye mahusiano lazima muoane.
Jaman wengine tunapitia Test kwanza kabla hujaingia kwenye final Exams
 
Kudos kwa huyo jamaa kukuambia ukweli live bila kupepesa.. that's how it should be...!
Nakumbuka miaka nikiwa kijana, niliwahi kumwambia dada mmoja hivyo..aliporomosha matusi hadi basi..!
Lakini baadae alinielewa na kuniambia nilifanya jambo jema kumwambia ukweli sababu alipata mtu na kuolewa..!
 

Ukweli unauma...na nikijua moyo utauma...nakupenda ndio sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio...(mara mbili)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…